Poa Mkuu, lakini hakikisha hiyo shuka #1 kwenye photo inakuwepo ndugu yangu!! Niwekee na wala sitakuangusha kwa sababu sina Uswahili kwenye biashara ingawaje hapa hapa JF Sellers 3 wamewahi kuniletea Uswahili kwa kushindwa ku-deliver kile ambacho tulikubaliana! Na Jtatu nitakushitua unioneshe sample mpya utakayopata!
Usijali naishi kwa ahadi, siku zinavyokimbia tarehe 27 tunafika. Picha ya kwanza kuna rangi 2. Unataka pair ya rangi ipi. Viua vya orange au via vya pink Au unataka pair iwe mixed, shuka 1 na foronya 2 iwe viua vya orange na shuka 1 na foronya 2 iwe viua vya pink.Poa Mkuu, lakini hakikisha hiyo shuka #1 kwenye photo inakuwepo ndugu yangu!! Niwekee na wala sitakuangusha kwa sababu sina Uswahili kwenye biashara ingawaje hapa hapa JF Sellers 3 wamewahi kuniletea Uswahili kwa kushindwa ku-deliver kile ambacho tulikubaliana! Na Jtatu nitakushitua unioneshe sample mpya utakayopata!
Poa Mkuu, ni kweli kabisa! Fanya mixing ndo itakuwa mzuka zaidi!Usijali naishi kwa ahadi, siku zinavyokimbia tarehe 27 tunafika. Picha ya kwanza kuna rangi 2. Unataka pair ya rangi ipi. Viua vya orange au via vya pink Au unataka pair iwe mixed, shuka 1 na foronya 2 iwe viua vya orange na shuka 1 na foronya 2 iwe viua vya pink.View attachment 1024165View attachment 1024166View attachment 1024167
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Laididi, vp kuhusu mzigo wa Jtatu ya jana?! Ningependa kuona dizaini yake! Si unakumbuka tumekubaliana uniwekee 2 next week?!Habari yako ndugu. Hazitoi rangi wala kututumka. Kuhusu design, nnapochukulia mzigo kila J3 huwa kunakuwa na mali mpya.
Wakati tunasubiri hela wiki ijayo, simply contact me nikupe foronya 1 tu kama sample uitumie, ukiridhika utanunua. Karibu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole nmechelewa kuona ujumbe. Pair ya mwanzo ipo.Mkuu Laididi, vp kuhusu mzigo wa Jtatu ya jana?! Ningependa kuona dizaini yake! Si unakumbuka tumekubaliana uniwekee 2 next week?!
Mkuu Laiddi, sorry kwa kuchelewa kujibu! Hiyo color HAPANA aisee, it's TOO DARK! Kwavile tumekubaliana Jtano ijayo, basi ukipata sample mpya Jtatu usikose kunionesha!!!Ukubwa ni 8 kwa 8
Bei ni elfu 55000 tsh
Shuka 2 na foronya nne.View attachment 1027246
Sent using Jamii Forums mobile app
Niletee mpaka home uje unitandikie kama hivyo.[emoji23]Ukubwa ni 8 kwa 8
Bei ni elfu 55000 tsh
Shuka 2 na foronya nne.View attachment 1027246
Sent using Jamii Forums mobile app
Ili hali mwenyewe unaishi kwenye singo.Tupia picha za vitanda vya ma getho yetu, ili tuone linavyokaa.
Poa boss!
Mkuu salam! Ukipata sample mpya leo, usikose kunionesha!Pole nmechelewa kuona ujumbe. Pair ya mwanzo ipo.
Hili nililo post muda huu vipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuwa wewe ni maasai..nataniaYanavutia jamani siku nikipata chumba na kitanda nitakutafuta maana kwa sasa nalala club.
DJ 😀Utakuwa wewe ni maasai..natania
Unagonga mangoma club gani??DJ [emoji3]
Free24 na LiquidUnagonga mangoma club gani??