Nauza mashuka mazuri, karibu nikuhudumie

myplusbee
Utanijulisha kama lipo ulilolielewa. Japo hyo j5 ntakuwa na 2 extra pairs, maana kitu ukikiona kwa macho unaweza kuvutiwa nacho zaidi.

0788429043

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • 20190226_021229.jpeg
    49.1 KB · Views: 46
  • 20190226_020933.jpeg
    51 KB · Views: 49
  • 20190226_021446.jpeg
    49.9 KB · Views: 49
  • 20190226_021530.jpeg
    87.5 KB · Views: 49
  • 20190226_020731.jpeg
    54.3 KB · Views: 53
  • IMG-20190208-WA0009.jpeg
    5.5 KB · Views: 46
Mkuu laiddi,
Kwamba utakuwa na 2 extra pairs itakuwa ni jambo la mbolea zaidi kwa sababu, nikivutiwa na zote, hiyo nyingine naweza kukuambvia hata uniwekee manake binafsi mimi ni mchafu kwahiyo siwezi kukaa na shuka chache manake kibarua cha kufua fua kwangu kigumu!!

I hope ile niliyokuambia uniwekee bado ipo! Pamoja na ile, ongeza na hii hapa:-

​

Hiyo extra pair, iwe pamoja na hii hapa:-



Halafu hiyo "C" mbona sijaielewa elewa?! Ni shuka ya kawaida, au? I mean texture yake, manake naiona kama mzito mzito sana. All in all, kama size yake ni sawa na hizo zingine, basi hiyo "C" ifanye kuwa another extra pair to showcase!​
 
Shuka nzuri za watoto zinapatikana

Shuka 1 na Foronya 2

Ukubwa ni 8*8

Bei ni 27000/=

[emoji338]Call/[emoji390]whatsapp 0788429043



 
Hivi ndivyo vitu vya kushirikishana[emoji120][emoji120][emoji120]Ubarikiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…