Wadau wenye mapenzi na ufugaji nauza vifaranga wa kienyeji hybrid wengine wanawaita wa malawi weusi, pia wapo wale wa madoa doa kama kanga na wengine mchanganyiko.
Bei inategemea na umri wa kifaranga wapo kuanzia siku tatu mpaka wiki nne.
Kwa maelezo zaidi nitumie ujumbe nitakupigia.
Vifaranga hukua haraka ila si kama broiler na wala si kama wa kienyeji wale wanaojitafutia wenyewe chakula. Hawa kuanzia miezi minne unaweza kula. Nyama yake iko kama ya wale wa kienyeji tuliowazoea.