Nauza vifaranga wa kienyeji (hybrid)

samahani dada, kwa waliomikoani utahakikisha vp wanapata vifaranga bila ya hitilafu yoyote?
na pia unatuma kwa njia gani? (mfano: nahitaji vifaranga 250 wa wiki nne)!
pia hawa vifaranga wa wiki4 wamepitia chanjo ngapi?

Hongera kwa ufugaji bora!

Inategemea na mkoa ulipo. Kwasasa naweza kutuma dodoma, arusha, dar es salaam , iringa na mbeya.
Natumia mabus na nimeshatuma kote huki na wamefika salama.
Wiki nne wamechanjwa chanjo zote kasoro chanjo ya ndui ambayo wanachanjwa kuanzia wiki 7.
 
Mimi naitaji Maya I ya kuku Hawaii was madoadoa,,, nitapata? Je wanaitwaje? Vifaranga weapons?
 
Naweza pata jogoo name mtetea hawa wa madoadoa??

,
 
Tray utauzaje mama? Unapatikana maeneo gani kwa Dar. Me ntahitaji tray 4.

Nitauza sh 10000 kuanzia trei 10 chini ya hapo 12000 niko morogoro kwa dar natakutumia kwa bus yanafika salama bila hofu.
 
Nitauza sh 10000 kuanzia trei 10 chini ya hapo 12000 niko morogoro kwa dar natakutumia kwa bus yanafika salama bila hofu.

Duh... Ngoja nijikongoje ili nku2mie iyo pesa... Je unafungasha kwenye tray au box?
 
Glory mimi naanza kufuga niko dar kwa kweli nihitaji watu kama wewe wazoefu. Nahitaji networking. Nitakupigia tujadili.
 
Ccter, hivi hawa kuku huwa ni weuc tu, hakuna weupe? Make me napenda weupe ati...
 
Unaweza kutengeneza banda lako kwa style hii... unajenga banda mbele unawawekea sehemu ya kucheza unaizungushia na wire kama kuku wako ni wengi.
 

Attachments

  • 1409645518836.jpg
    61.5 KB · Views: 63
  • 1409645547509.jpg
    78 KB · Views: 66
  • 1409645580942.jpg
    79.2 KB · Views: 63
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…