nikiishaona dalali anasema hati iliyopo ni ya serikali za mtaa naona ni kichwan hamna kitu, hakuna kitu kinaitwa hati ya serikali za mitaa, hati zote zinatoka ardhi sasa iyo ya serikali za mitaa sio hati ni squaterKiwanja kinauzwa Kimara mwisho Millenia
Ni mkono wa kushoto ukiwa unatoka ubungo
Kiwanja kina mita 20×16, kipo sehemu tambarare. Kinapakana barabara ya mtaa. Unaweza kujenga fremu za biashara. Bei mln 14 maongezi kidogo yapo
Hati iliyopo ni ya serikali za mitaa
0675 065906.
View attachment 3001356View attachment 3001357
Sawa Mkuu wewe ambae kichwani zipo sawa mind your own bussiness cha muhimu ushaelewa basi imetosha.nikiishaona dalali anasema hati iliyopo ni ya serikali za mtaa naona ni kichwan hamna kitu, hakuna kitu kinaitwa hati ya serikali za mitaa, hati zote zinatoka ardhi sasa iyo ya serikali za mitaa sio hati ni squater
Angesema haki miliki sio hati, kwamba umiliki wa eneo unatambulika na serikali ya mtaa na maeneo yote yanayo zunguka yanatambulika vilevile....ila nimemuelewanikiishaona dalali anasema hati iliyopo ni ya serikali za mtaa naona ni kichwan hamna kitu, hakuna kitu kinaitwa hati ya serikali za mitaa, hati zote zinatoka ardhi sasa iyo ya serikali za mitaa sio hati ni squater
Pamoja chifu hizi hapa aina za haki miliki.Shukrani ndugu umenena kwa busara
Hati ya serikali ya mtaa haina nguvu yoyote kwenye sheria ya ardhi kama ardhi hiyo sio mali ya kijiji/mtaa. Tukiuziana mimi na wewe mbele ya mashahidi ni mkataba tosha kabisa, hakuna hata haja ya hilo li karatasi la serikali ya mtaaPamoja chifu hizi hapa aina za haki miliki.
1. Hati miliki (title deed): hapa eneo limepimwa kabisa.
2. Barua ya Ofa: document ya kusubiri hati miliki. Eneo wanaita lina ofa.
3.Leseni ya makazi...hutolewa na wizara ya ardhi na maeneo hurasimishwa yawe na makazi.
4. Eneo kutambulika na Serikali ya mtaa....
5.Hati ya kimila: hii ni hati ya asili kwa wazawa....kule kwetu uchaggani kuna sehemu wanatumia hii njia, kuuziwa eneo mpaka ndugu wote wajue na wajue kwani nini unauza 😅😅😅😅
Serikali na sheria zinatambua huo umiliki.
Ndiyo mkuu eneo likiwa linatambulika na serikali ya mtaa mauziano yanaweza kuafikiwa na kushuhudiwa na watu kadhaa na kufahamika kama eneo liliuzwa kwa makubaliano ya mkataba.....bado inakubalika ni sawa.Hati ya serikali ya mtaa haina nguvu yoyote kwenye sheria ya ardhi kama ardhi hiyo sio mali ya kijiji/mtaa. Tukiuziana mimi na wewe mbele ya mashahidi ni mkataba tosha kabisa, hakuna hata haja ya hilo li karatasi la serikali ya mtaa
Hamna wateja humu , watu wanaanza kushindana vifunguMnanunua kiwanja au ndio mnataka kushindana aliyeandika hati. Kiwanja chenu?
Mafakz😡