Plot4Sale Nauza viwanja maeneo mbalimbali Dar

Plot4Sale Nauza viwanja maeneo mbalimbali Dar

KIWANJA KIZURI SANA
KINAUZWA
KIMARA TEMBONI

KIWANJA HIKI KINASIFA ZIFUATAZO

# KIPO SEHEMU NZURI
# KINAFAA KWA MAKAZI, PIA KUJENGWA NYUMBA ZA KIBIASHARA (APARTMENT'S)
#MAJI SAFI DAWASA NA UMEME..

UKUBWA WA ENEO NI
SQM 480.

BEI NI MILION 14. MAONGEZI YAPO

KIWANJA HIKI KIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI.

KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE KIWANJA HIKI NI KM 3.

USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA BARABARA INAFIKA HADI SITE.

DOCUMENT NI HATI SAFI YA MAUZIANO HALALI KUTOKA SERIKALI YA MTAA

0675 065906
 

Attachments

  • 1714540042360.jpg
    1714540042360.jpg
    255.5 KB · Views: 7
  • 1714540022359.jpg
    1714540022359.jpg
    280.5 KB · Views: 9
Kipo mtaa gani maana bajaji za temboni zipo zinaenda kimtaa yan kwa makofia au mfugale na kazalika kwaiyo kipo mtaa gani
 
Asante kwa muongozo huu
Kwani ndugu wewe ni nikipofu mpaka uende kununua ardhi yenye matatizo ukitaka kutapeliwa ni wewe mwenyewe tu na uzembe wako jambo muhimu zingatia taratibu za ununuzi wa ardhi before hujaweka fedha yako.......Na sio kiluvya tu popote pale usipofuata taratibu za kisheria unapigwa vizuri.
Maoni yako naona yalilenga kuharibu tangazo langu,kuna namna ya kutoa taarifa na sio kwa mtindo ulitumia kuandika maoni yako.
 
Kiwanja kinauzwa Kiluvya Gogoni
Ukubwa ni mita 22x24,kipo umbali wa mita 200 kutoka barabara kuu ya lami,morogoro Road
Bei milioni 17 maongezi kidogo yapo
0675065906
 

Attachments

  • IMG-20240509-WA0004.jpg
    IMG-20240509-WA0004.jpg
    37 KB · Views: 9
Ni vema ukasema nauza kiwanja urefu kiasi fulani upana kiasi gani. Ila ukisema square meters 500 baadhi yetu au wengine wengi wanapata shida kudadavua size ya eneo kulingana.
 
Kiwanja kinauzwa Kiluvya kwa komba
Ukubwa ni smq 400,umbali wa mita km 1 kutoka barabara kuu ya morogoro Road
Bei milioni 12
 
Ni vema ukasema nauza kiwanja urefu kiasi fulani upana kiasi gani. Ila ukisema square meters 500 baadhi yetu au wengine wengi wanapata shida kudadavua size ya eneo kulingana.
Boss asante kwa maoni yako
Kiwanja kinauzwa Kiluvya Gogoni
Ukubwa ni mita 22x24,kipo umbali wa mita 200 kutoka barabara kuu ya lami, morogoro Road
Bei milioni 17 maongezikidogo yapo
 
Kiwanja kinauzwa Kiluvya kwa komba, Ukubwa ni sqm 400 na kuendelea vipo umbali wa mita km 1 kutoka barabara kuu ya lami morogoro Road
Bei milioni 12 .....
0675 065906
 
Je kina hati ya wizarani.
Asante


KAZI ni kipimo cha UTU
 
Unatembea dakika 25 tu hadi kiwanjani au pikipiki 1000 tu!

Kina ukubwa wa 40*20.

Bei ni tsh 14.5m.

Documents: Sales agreement.

Kama unahitaji kiwanja Kibamba. Vipo vingine vingi tunauza

Mawasiliano: 0675 065906.
1716365953530.jpg
1716365944725.jpg
1716365957962.jpg
 
Ndugu zanguni wa Jamii forum
Nimewaletea kiwanja hiki mali safi kabisa Njoo ukinunue Utakuja kunishukuru
 
Back
Top Bottom