INAUZWA Nauza Viwanja, nyumba na Mashamba Kigamboni Dar es Salaam

Tunakwambia hiyo nyumba tushaifunga huuzi. Watoto wakasome wapi!?
 
Huyo jamaa utangazaje wake unaweza kuamini kwamba nyumba ni yake manake utakuta anaandika "Nauza Nyumba", kumbe dalali! Siku ya kwanza kuona matangazo yake, nami nikaamini kwamba ni nyumba yake!!
 
Ipo mwembe mdogo Kigamboni Ina vyumba vitatu kimoja Master sitting room jiko na public toilet kiwanja kina sqm 928
Upimaji shilikishi ushafanyika Bei ml 28 maongezi yapo ipo mita 150 toka lami kilometers 17 toka kivukoni nicheki
0713672719/0787672719

 
Ina vyumba vitatu kimoja Master sitting room jiko na public toilet

Bei milioni 30 maongezi yapo kiwanja kina sqm 924

Ipo mita 150 toka lami nicheki 0713672719
0787672719


 
Ipo kibada kigamboni Ina vyumba vitatu kimoja master sitting room dining room jiko na public toilet plot Ina sqm 600 ishafanyiwa upimaji bado kotolewa hati tu
Bei milioni 75 nicheki 0713672719

 
Hati miliki kutoka wizarani au kutoka serikali ya mtaa
 
Eneo lipo Gezaulole kigamboni
Lina tazama barabara ya lami
Lina ukubwa wa sqm 7540
Sawa na heka mbili kasoro sqm 460
Lina hati miliki ya wizara ardhi
Matumizi commercial location
Inafaa kwa kituo cha mafuta yadi
Apartment na magodauni Bei milioni 350
Eneo lote limezungushiwa ukuta kozi 6
Njoo na ofa yako pia utasikilizwa
0713672719
0787672719
View attachment 2304662View attachment 2304665View attachment 2304666
 
Huyo jamaa utangazaje wake unaweza kuamini kwamba nyumba ni yake manake utakuta anaandika "Nauza Nyumba", kumbe dalali! Siku ya kwanza kuona matangazo yake, nami nikaamini kwamba ni nyumba yake!!
Kuna vya kwangu na vya watu babu ukuona nauza hicho changu ukuona KINAUZWA hicho Cha mtu
 
Mbona watu kama wame susa hivi? Au kuna kuuziana ngutuwe kwenye gunia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…