Nassoro Abdallah
Member
- Jul 22, 2020
- 89
- 94
- Thread starter
-
- #121
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwenyewe alikuwa anafanya biashara ya kuuza maembe dodo? Maana naona kuna matenga ya kutosha hapo!!
Ndio hapo location ndio inayo MataHapo unauza kiwanja, je hilo eneo ni potential kiasi hicho cha bei hiyo?
Ndio hapo location ndio inayo Mata
Sio Hilo jengo
Swali zuriKama jengo hata ww unaona halina thamani, je hicho kiwanja unaamini kina thamani ya tzs 120M?
Ndio kunathamani zaidi ya hiyo hapoSwali zuri