INAUZWA Nauza Viwanja, nyumba na Mashamba Kigamboni Dar es Salaam

INAUZWA Nauza Viwanja, nyumba na Mashamba Kigamboni Dar es Salaam

Ipo mjimwema mtaa wa kibugumo
Ina vyumba vitatu kimoja master
Sitting room jiko na public toilet
Kiwanja kina ukubwa wa mita 22×40
Ina document ya serikari ya mtaa
Bei milioni 60 mzungumzo yapo
Ipo kilometers 9 toka kivukoni
Kilometers 1.5 toka main road
0713672719
0787672719
FB_IMG_1649253144150.jpg
IMG_20220219_165708_848.jpg
IMG_20220219_165525_287.jpg
 
Mwenyewe alikuwa anafanya biashara ya kuuza maembe dodo? Maana naona kuna matenga ya kutosha hapo!!
 
Nyumba ipo mwembe mdogo kigamboni
Ina vyumba vitatu kimoja master sitting room jiko na public toilet Bei milioni 35
Kiwanja kina sqm 900 upimaji shirkishi
Umefanyika ipo kilometers 18 toka kivukoni
Mita 150 toka main road nicheki
0787672719
0713672719

Screenshot_20220131-231846.jpg
 
Beach ipo Pembamnazi Kigamboni Ina ukubwa wa heka moja Bei milioni 90
Umiliki documents ya mauziano ipo kilometers 52 toka Kivukoni
0713672719
0787672719
IMG-20220731-WA0002.jpg
IMG-20220731-WA0001.jpg
IMG-20220731-WA0000.jpg
 
Nyumba inatizama barabara kuu ya lami iyendayo kongowe ipo mjimwema mtaa ungindoni senta Ina vyumba vitano sitting room Bei milioni 120 unaweza Jenga maduka location ya biashara ipo kilometers 7 toka kivukoni
0713672719
0787672719

IMG_20220905_180548_742.jpg
 
Nyumba Inauzwa Kigamboni toangoma kituo kinaitwa mwembe mtengu ni nyumba ya kisasa kabisa ina vyumba vinne vya kulala ikiwemo master bedroom moja ina jiko Dina na seeting room kubwa na stoo kwa nje ina eneo la kutosha kupaki magari yako ukubwa wa eneo ni square 1000 ni sawa na robo eka nyumba ina hati miliki na ina kila kitu ndani bei ni milioni 170 maongezi yapo ni jirani kabisa na barabara kuu ya lami kwa maelezo zaidi tupigie simu 0787672719 au 0713672719

1663135618007.jpg
1663135622852.jpg
1663135626967.jpg
1663135630958.jpg
 
Kipo mwembe mdogo chuo Cha Afya
Kina ukubwa wa sqm 547 kimeshafanyiwa upimaji bado kutolewa hati tu Bei milioni 6
Kipo kilometers 18 toka kivukoni kilometers 2 toka main road
0713672719
0787672719

IMG-20220902-WA0304(1).jpg
IMG-20220902-WA0303.jpg
 
:: 0713672719= 0787672719

VIWANJA VIPYA TUMEKATA CHANIKA ZINGIZIWA MJINI MANISPAA YA ILALA DAR ES SALAAM TANZANIA.

KWA TSHG MILLIONI 2,000,000/= 2M

UKUBWA WA ENEO SQM 400

VIPO TAMBALALE KABISA SEHEMU SAFI KIMAKAZI NA KIBIASHARA KWA MHUTAJI SILIASI.

HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZINAPATIKANA JIRANI SANA KAMA VILE = SHULE = UMEME = MAJI = HOSPITAL = NYUMBA ZA IBAADA

AISEEE SIYO VYA KUKOSA WEWE UNAEHITAJI KUMILIKI KIWANJA CHAKO CHA MJINI

TEMBELEA KWENYE OFFICE YETU IKO MJINI CHANIKA JIRANI NA SHELL YA #OIL COM
FB_IMG_1663505062652.jpg
FB_IMG_1663505055104.jpg
FB_IMG_1663505058993.jpg
 
Back
Top Bottom