Navukaje hapa wakuu

Navukaje hapa wakuu

mdau mpya

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
474
Reaction score
651
Asalamwaleko!

Kumetokea emergency ikalazimu wife kusafiri kwenda mkoani, atakaa wiki 2 huko. Sasa hapa home tuko mimi na housegirl tu, yaani wawili. Kwa kweli nategwa sana na huyu mtoto. Muda wote yuko na kanga moja nikimwambia anasema anaona joto. Jana nimerudi saa 7 usiku naona anaangalia TV yuko na kanga maziwa nje.

Nikaenda zangu mezani na yeye kaja kanipakulia chakula na yeye akakaa hapo hapo. Nimekula nikaenda zangu kulala. Saa 10 naamshwa maji yanatoka nimsaidie kukinga, natoka naona mtoto yuko kihasara hasara tu. Nikamwambia kalale nashughulikia maji mwenyewe. Cha ajabu akaenda kulala kwenye kochi akaachia mapaja nje na anajifanya kalala. Nilivomaliza nikaenda kumwamsha akalale ndani, si ndo kaniambia anaogopa nyumba kubwa mno. Nikasema siku zote si huwa unalala akasema angalau dada huwa yupo. Nikamwambia nenda uchukue shuka ujifunike, kasema naomba nisindikize nichukue. Nikamwambia umezidi nikaenda zangu kulala.

Asubuhi nimeamka nimeoga nikaondoka zangu. Hapa kazini naona matukio ya jana yanajirudia kichwani.
Sitaki kutembea nae kwa kweli ila naona kabisa naenda kudhalilika. Nisiporudi home usalama mdogo mana yuko peke yake.

Nimewaza nimwambie akapumzike kwa ndugu zake huko mlandizi mpaka dada yake arudi. Akikataa naona naenda kutia bakola binti wa watu.

Au mnashaurije wakuu.
 
Agiza kwa ile sauti ya baba mpaka akuogope.

Yani inakuwaje housegirl unamwambia aende Mlandizi halafu anakukatalia?

Au kashakuona unamlegezea?
 
Asalamwaleko!

Kumetokea emergency ikalazimu wife kusafiri kwenda mkoani, atakaa wiki 2 huko. Sasa hapa home tuko mimi na housegirl tu, yaani wawili. Kwa kweli nategwa sana na huyu mtoto. Muda wote yuko na kanga moja nikimwambia anasema anaona joto. Jana nimerudi saa 7 usiku naona anaangalia TV yuko na kanga maziwa nje.

Nikaenda zangu mezani na yeye kaja kanipakulia chakula na yeye akakaa hapo hapo. Nimekula nikaenda zangu kulala. Saa 10 naamshwa maji yanatoka nimsaidie kukinga, natoka naona mtoto yuko kihasara hasara tu. Nikamwambia kalale nashughulikia maji mwenyewe. Cha ajabu akaenda kulala kwenye kochi akaachia mapaja nje na anajifanya kalala. Nilivomaliza nikaenda kumwamsha akalale ndani, si ndo kaniambia anaogopa nyumba kubwa mno. Nikasema siku zote si huwa unalala akasema angalau dada huwa yupo. Nikamwambia nenda uchukue shuka ujifunike, kasema naomba nisindikize nichukue. Nikamwambia umezidi nikaenda zangu kulala.

Asubuhi nimeamka nimeoga nikaondoka zangu. Hapa kazini naona matukio ya jana yanajirudia kichwani.
Sitaki kutembea nae kwa kweli ila naona kabisa naenda kudhalilika. Nisiporudi home usalama mdogo mana yuko peke yake.

Nimewaza nimwambie akapumzike kwa ndugu zake huko mlandizi mpaka dada yake arudi. Akikataa naona naenda kutia bakola binti wa watu.

Au mnashaurije wakuu.
Hili nalo ufundishwe?
 
###Nje ya Mada###"Tunashukuru Kaka,,Tumefahamu ya kuwa ume bahatika na kujaaliwa ujenzi Wa Nyumba Kubwa"Mkaze Mnoo huyo Bibie kijakazi lakini hakikisha anaondoka hapo,,lakini pia!!Kama Hutojali naomba namba ya shemeji(Mke Wako Wewe).
 
Back
Top Bottom