Navukaje hapa wakuu

Navukaje hapa wakuu

Ukimtia tu, itabidi aondoke.

Kama unataka aondoke immediately, mtie tu kisha aende zake akiwa mwepesi.

Otherwise, ukimla na ukamuacha, mkeo akirudi ata-notice mabadiliko, kisha ugomvi, kisha beki tatu ataondoka na wewe utabaki na doa la uaminifu kwenye ndoa.
Doa la uaminifu kwenye ndoa huwa linatesa balaa!!
 
Asalamwaleko!

Kumetokea emergency ikalazimu wife kusafiri kwenda mkoani, atakaa wiki 2 huko. Sasa hapa home tuko mimi na housegirl tu, yaani wawili. Kwa kweli nategwa sana na huyu mtoto. Muda wote yuko na kanga moja nikimwambia anasema anaona joto. Jana nimerudi saa 7 usiku naona anaangalia TV yuko na kanga maziwa nje.

Nikaenda zangu mezani na yeye kaja kanipakulia chakula na yeye akakaa hapo hapo. Nimekula nikaenda zangu kulala. Saa 10 naamshwa maji yanatoka nimsaidie kukinga, natoka naona mtoto yuko kihasara hasara tu. Nikamwambia kalale nashughulikia maji mwenyewe. Cha ajabu akaenda kulala kwenye kochi akaachia mapaja nje na anajifanya kalala. Nilivomaliza nikaenda kumwamsha akalale ndani, si ndo kaniambia anaogopa nyumba kubwa mno. Nikasema siku zote si huwa unalala akasema angalau dada huwa yupo. Nikamwambia nenda uchukue shuka ujifunike, kasema naomba nisindikize nichukue. Nikamwambia umezidi nikaenda zangu kulala.

Asubuhi nimeamka nimeoga nikaondoka zangu. Hapa kazini naona matukio ya jana yanajirudia kichwani.
Sitaki kutembea nae kwa kweli ila naona kabisa naenda kudhalilika. Nisiporudi home usalama mdogo mana yuko peke yake.

Nimewaza nimwambie akapumzike kwa ndugu zake huko mlandizi mpaka dada yake arudi. Akikataa naona naenda kutia bakola binti wa watu.

Au mnashaurije wakuu.
CHAI MAHARAGE
 
Soma hii itakusaidia.

Shetani nae ana Amri zake mkuu.
b1aa63434161f222323011896ae463bf.jpg
 
Huyo binti(kama ni kweli) hizo pigo anazokuletea ni kwamba amekudharau na hakuheshimu,kama ni mwanaume hasa na una mamlaka binti wa ndani hawezi kukukosea adabu kama hivyo.
 
Sijui kwanini ila nakereka nikiona mwanaume unaleta stori ha kipumbavu hivi. Inaweza kuwa ni chai ila basi tu nakereka naona una utoto. Kama ni kweli, basi wewe mkeo anakulea hapo na ndiyo maana hiko kidada kinakudharau
 
Housegal anapata wapi ujasiri wa kukaa karibu na wewe na kukwambia yote hayo.

Kuepusha shari ya aina yeyote kwangu sitaki mazoea yeyote na dada wa kazi zaidi ya salam.
 
Tumia kinga,hao huwa wanadaka mimba kirahisi mno.
 
Back
Top Bottom