Navukaje hapa wakuu

Doa la uaminifu kwenye ndoa huwa linatesa balaa!!
 
CHAI MAHARAGE
 
Soma hii itakusaidia.

Shetani nae ana Amri zake mkuu.
 
Huyo binti(kama ni kweli) hizo pigo anazokuletea ni kwamba amekudharau na hakuheshimu,kama ni mwanaume hasa na una mamlaka binti wa ndani hawezi kukukosea adabu kama hivyo.
 
Sijui kwanini ila nakereka nikiona mwanaume unaleta stori ha kipumbavu hivi. Inaweza kuwa ni chai ila basi tu nakereka naona una utoto. Kama ni kweli, basi wewe mkeo anakulea hapo na ndiyo maana hiko kidada kinakudharau
 
Housegal anapata wapi ujasiri wa kukaa karibu na wewe na kukwambia yote hayo.

Kuepusha shari ya aina yeyote kwangu sitaki mazoea yeyote na dada wa kazi zaidi ya salam.
 
Tumia kinga,hao huwa wanadaka mimba kirahisi mno.
 
Ngoja nilete maandazi,hii chai ya moto sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…