Kiufupi Wengi Humu Hatujuani.
Najaribu Kuvuta Picha Tu Baadhi Ya Member Humu WaTafananaje Siku Nikikutana Nao.
1. The Bold
Huyu Jamaa Kwa Story Zake Humu Jf Nahisi Ni Mshikaji Tu wala Siyo Mtu Mzima, Ni 35's+ yrs. Pure Black Kama Mrundi, Mrefu Mwembamba Na Anapenda Kuvaa Black Glass Na Akitembea Ni Kama Robot Hageuki Nyuma.
2. Demmis
Najaribu Kuwaza Huyu Mdada Siku Nikikutana nae. Ni Mrefu Flani, Kibonge Kiasi Flani, Anatembea Kwa Mapozi,Mweupe Anapenda Pigo za Suruari Za Jeans. Ni charming Na Ni Mshikaji Sana
3. Sky Eclat
Huyu Ni Mdada Wa Makamo Hivi She is About To go 40's. Soft Black Coloured, Mrefu, Mwembamba Wa wastani, Anapenda Kuvaa Wigi La Kujiachia.
4. Putin Vladimirovich
Kama Kawaida Trump Na Putin Ni Mahasimu Ulimwengu Unalijua Hilo. Huyu Rafiki Atakuwa Siyo Mrefu Wala Mfupi Ni Wastani Tu. He is 35's+ Mweusi Tii, Vimacho Vimeingia Ndani. Ni Mtu Wakuchomekea Suruari Kama Dingi Flani iLa Yuko Peace Na Washikaji.
Fikilia Watatu Humu JF Elezea Watafananaje Siku Ukikutana Nao