Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji121] [emoji121] [emoji121]Angekuwa mshana jr wala asingekosea kitu yeye ni ramli tu anashusha mpka email za member humu
Duuuuh!Kiufupi Wengi Humu Hatujuani.
Najaribu Kuvuta Picha Tu Baadhi Ya Member Humu WaTafananaje Siku Nikikutana Nao.
1. The Bold
Huyu Jamaa Kwa Story Zake Humu Jf Nahisi Ni Mshikaji Tu wala Siyo Mtu Mzima, Ni 35's+ yrs. Pure Black Kama Mrundi, Mrefu Mwembamba Na Anapenda Kuvaa Black Glass Na Akitembea Ni Kama Robot Hageuki Nyuma.
2. Demmis
Najaribu Kuwaza Huyu Mdada Siku Nikikutana nae. Ni Mrefu Flani, Kibonge Kiasi Flani, Anatembea Kwa Mapozi,Mweupe Anapenda Pigo za Suruari Za Jeans. Ni charming Na Ni Mshikaji Sana
3. Sky Eclat
Huyu Ni Mdada Wa Makamo Hivi She is About To go 40's. Soft Black Coloured, Mrefu, Mwembamba Wa wastani, Anapenda Kuvaa Wigi La Kujiachia.
4. Putin Vladimirovich
Kama Kawaida Trump Na Putin Ni Mahasimu Ulimwengu Unalijua Hilo. Huyu Rafiki Atakuwa Siyo Mrefu Wala Mfupi Ni Wastani Tu. He is 35's+ Mweusi Tii, Vimacho Vimeingia Ndani. Ni Mtu Wakuchomekea Suruari Kama Dingi Flani iLa Yuko Peace Na Washikaji.
![]()
Fikilia Watatu Humu JF Elezea Watafananaje Siku Ukikutana Nao
huyu nanliu huyuNani huyoo
ShunieNahisi hiyo quote haikuhusu wewe kwani we ndio alikwambia umuunge kifurushi cha chuo
Hahahaaa Poleee wakikua wataachamadogo hawana siri kabisa.wewe dogo kukupigia simu uniungishe bando ushanitangaza ,nikikupa papuchi si utaweka video kabisa?
Sawa mkuu kwa kuwa na shunie uliyemuumbaShunie
Mwembamba fulani mweupee mfupi artificial Yani kujipodoa kwingiiiii hana chura
nami nakuunga kukohoa kwao koh koh kohKoh koh koh
Mi wala usiangaike nabandika picha yangu kabisa...Rudi Mkuu Tunywe Kahawa.