Naunga mkono hoja[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Huku sijaona mtu anayeongelea mambo ya kula kula sana, wengi naona wanaongelea migegedo na siasa za wenye frustration
Kwahiyo nina assume wengi huku ni wembamba tu, hakuna charinenee kama mimi.
Naunga mkono hoja[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Go back to school dude....sipo hivyo5. Joseverest
Huyu ni Mwembamba, Mrefu Flani hivi, Ana Nyoa Nywele Kawaida Yani Hana Madoido Kwenye Hair Cutting, Mwembamba, Anavaa Suruali za Kitambaa Na Mashati Yakuchomekea Kwa Sana Plus Open Shoes. Ni Muongeaji Sana
Unavyowaza ni tofauti kabisaSasa Mkuu Unajikataa
Tupo vibongeHuku sijaona mtu anayeongelea mambo ya kula kula sana, wengi naona wanaongelea migegedo na siasa za wenye frustration
Kwahiyo nina assume wengi huku ni wembamba tu, hakuna charinenee kama mimi.
Mkuu mkuuHuu mpango wenu wa kutujua huku nyie watu tumeushtukia... Kuna mtu hapa anatafutwa hapa ohoo
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Naam mkuuMkuu mkuu
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]madogo hawana siri kabisa.wewe dogo kukupigia simu uniungishe bando ushanitangaza ,nikikupa papuchi si utaweka video kabisa?
Heshima yako mkuu na kher mwaka mpyaNaam mkuu
Kibonge au neema za Allah?Tupo vibonge
Heshima na kwako pia mkuu..Heshima yako mkuu na kher mwaka mpya
Vyote kwa pamoja. Hivi neema za Allah wembamba nao wanakuaga nazo?Kibonge au neema za Allah?
Mungu mwema mkuu neema zake tumevuka salama ...jana tumepishana humu juu juuHeshima na kwako pia mkuu..
Shukrani sana mkuu na kwako pia heri ya mwaka 2018
Ni kweli mkuu... humu humu JF tumepishana au...Mungu mwema mkuu neema zake tumevuka salama ...jana tumepishana humu juu juu
Ndiyo. Kwa aina yao zinakuwepo.Vyote kwa pamoja. Hivi neema za Allah wembamba nao wanakuaga nazo?
Humu humu mkuu mtaan ni ishu kuna thread nilikukuta jan nikakupa hollaNi kweli mkuu... humu humu JF tumepishana au...
Nipromote mimi hapa Missnilitaka nimpromote kama uchebe nimekoma