Navuta picha baadhi ya member humu JF watafananaje siku nikikutana nao

Sina mpango wa kukutana na mtu wa humu abadan.labda tukutane tu huko mtaani bila kujuana.
 
madogo hawana siri kabisa.wewe dogo kukupigia simu uniungishe bando ushanitangaza ,nikikupa papuchi si utaweka video kabisa?
Miss natafuta nahisi wewe muonekano wako hauna tofauti na avatar yako hiyo, except wewe utakuwa mweupe
 
We are just guessing usipanic shun ila si naelekea kupatia au nimepatia kabisa?? Basi una chura haya furahi sasa Japo kiuhalisia huna [emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijapanick bana ila nimecheka umekosea sana me nakujipodoa tofauti mara moja kwa mwaka ndio naamua leo acha nijipodoe podoe huyo chura ndio ninii tena kibonge mimi nimepigwa pasi
 
Money Penny: ana sura ya kitoto, mrefu, maji ya kunde anakaribia 35 yrs ana muguu ya bia kama wahaya
Huyu ni Udangaji Na Anajulikana kupitia YouTube huko. Haina haja ya kumfikilia anafananaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…