Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Omwana mbona kama unanisemea mimi... LOLNiko kifupi cheusiiii omwana
Mkome ,,huyo atakua bwanaako kabisaNyani ngabu[emoji87] [emoji87]
Hata mimiiiiSina mpango wa kukutana na mtu wa humu abadan.labda tukutane tu huko mtaani bila kujuana.
Heee! Kwani vipi? We Mrs. Wake nini[emoji12] [emoji12]Mkome ,,huyo atakua bwanaako kabisa
Aaa kaka anguHeee! Kwani vipi? We Mrs. Wake nini[emoji12] [emoji12]
Sawa tukutane ile garden DemissNapita Kwa madoidooo[emoji125][emoji125]na kuringaaa
Miss natafuta nahisi wewe muonekano wako hauna tofauti na avatar yako hiyo, except wewe utakuwa mweupemadogo hawana siri kabisa.wewe dogo kukupigia simu uniungishe bando ushanitangaza ,nikikupa papuchi si utaweka video kabisa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii ndo sifa mojawapo ya omwanaOmwana mbona kama unanisemea mimi... LOL
Alf una mikono mifupi miguu mifupi na uu kibonge omwana
Oooh! Sawa sawaAaa kaka angu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijapanick bana ila nimecheka umekosea sana me nakujipodoa tofauti mara moja kwa mwaka ndio naamua leo acha nijipodoe podoe huyo chura ndio ninii tena kibonge mimi nimepigwa pasiWe are just guessing usipanic shun ila si naelekea kupatia au nimepatia kabisa?? Basi una chura haya furahi sasa Japo kiuhalisia huna [emoji12]
Kama huna sura mbaya basi ni masikini mkubwa mnoSina mpango wa kukutana na mtu wa humu abadan.labda tukutane tu huko mtaani bila kujuana.
hahaha umeona ee..yule naniii unamjua naniiTayari nimemfahamu anaetafutwa hapa hunter