We utakuwa mvuta bangi? Daa! Sasa Mtoto mtakayezaa si atakuwa mla bangi kibisaaNaomba msinishangae jamani mwenzenu huu ndiyo udhaifu wangu
Kiukweli huwa nikimuona mwanaume anavuta sigara au bangi nachizika kabisa,nimewahi kuwa na mpenzi wangu alikuwaga anavuta bangi,weeeeee!
Alikuwa akivuta bangi halafu akiniwekea dyudyu,weeee mdomo koma!😂
HahahahahahaNaomba msinishangae jamani mwenzenu huu ndiyo udhaifu wangu
Kiukweli huwa nikimuona mwanaume anavuta sigara au bangi nachizika kabisa,nimewahi kuwa na mpenzi wangu alikuwaga anavuta bangi,weeeeee!
Alikuwa akivuta bangi halafu akiniwekea dyudyu,weeee mdomo koma!😂
HahahahahahaUjue mwanaume kujifanya ni mwanamke ni dalili mbaya mkuu!
Badilika usije olewa.
Anatafuta hela ya sikukuu ? Ama kweli Bongo NyosoWakuu msipokuwa makini mtatuma hela za nauli na hamtoambulia kitu.
HUYU NI BRAZAMENI (TUWE MAKINI).
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Hivi nishawahi kukusalimia mambo? Lenie Naonaga ni ngumu sana 😂😂Jana nilienda mgahawa fulani kula, nikakutana na Dada mrembo sana sana na pete means mke wa mtu.
Hapakua na nafasi ya kukaa ikabidi nikae kiti cha kutazama naye, nikamsalimia, kila mtu akaendelea na mambo yake.
Alipokuja mhudumu nikamwambia "Ni aje Bro" yule Dada akatabasamu sana huku ananiangalia.
Nikamwambia vipi Dada? Tunaenda sawa au kuna shida nikupishe, akasema "napenda sana ulivyo msalimia huyo Kaka" Ni aje bro"
Akaniuliza wewe ni wa Arusha, nikamwambia nimezaliwa huko, kusoma huko, ila kwa sasa nipo Dar es salaam.
.Mazungumzo yalinoga, tukabadilishana namba, na tunaongea etc.
Naweza kuelewa unachosema