Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,104
- 29,178
😀😀unatafuna tuNapenda kuchoma sio kumung'unya wewe haupendi Moshi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀unatafuna tuNapenda kuchoma sio kumung'unya wewe haupendi Moshi?
😁😁 do you want a beeer??sawa sawa binti unywae wine pekee😂
😂😂😂 Aah wapi😀😀unatafuna tu
Umemkamata😀😀😀Ujue mwanaume kujifanya ni mwanamke ni dalili mbaya mkuu!
Badilika usije olewa.
Ulikiona kinini kibox?Sikukiona kitanda 🙊
Haya njoo 🏡sure,
za offer tamu sana😁
🤣🤣🤣🤣🤣 elezea kwanza weweUlikiona kinini kibox?
😆😆 we kabinti ni comedian sanaSikukiona kitanda 🙊
Ya tatu hiiNaomba msinishangae jamani mwenzenu huu ndiyo udhaifu wangu
Kiukweli huwa nikimuona mwanaume anavuta sigara au bangi nachizika kabisa,nimewahi kuwa na mpenzi wangu alikuwaga anavuta bangi,weeeeee!
Alikuwa akivuta bangi halafu akiniwekea dyudyu,weeee mdomo koma![emoji23]
Jaribu kuvuta nae alafu baada ya show uje ulete mrejeshoKwahio Hata mwenye kiba100 akivuta bhange ni nomaa??🤔!.
Nauliza tu🚶🏻♀️🚶🏻♀️
Anza wewe hukukiona kitanda ulikiona kinini sasa?🤣🤣🤣🤣🤣 elezea kwanza wewe
Mie kuvuta bangi hapanaJaribu kuvuta nae alafu baada ya show uje ulete mrejesho
😂😂 bado hajasemaaaaaMungu nipe maisha marefu yapo mengi sijayajua kumbe
Sasa tuwalize pole pole nyie jinsia ya KE nini mnataka?
wenye pesa
Wenye six pack
Wavuta bangi/sigara
Wenye gari
Ama vipi mbona mnatuchanganya sasa!
Ongezea na muonekanoMungu nipe maisha marefu yapo mengi sijayajua kumbe
Sasa tuwalize pole pole nyie jinsia ya KE nini mnataka?
wenye pesa
Wenye six pack
Wavuta bangi/sigara
Wenye gari
Ama vipi mbona mnatuchanganya sasa!