Navutiwa sana na wanaume wanaovuta bangi au sigara

Navutiwa sana na wanaume wanaovuta bangi au sigara

Naomba msinishangae jamani mwenzenu huu ndiyo udhaifu wangu

Kiukweli huwa nikimuona mwanaume anavuta sigara au bangi nachizika kabisa,nimewahi kuwa na mpenzi wangu alikuwaga anavuta bangi,weeeeee!

Alikuwa akivuta bangi halafu akiniwekea dyudyu,weeee mdomo koma!😂
Tunatengenezwa wavuta bangi kwa namna tofautitofauti kabisa..!! Yaani hadi mbususu zinatengeneza wavuta bangi..!!

Mamdogo Amehlo wewe vipi kuhusu wanywa gongo..!!?? Hawakukrezishi?

Dada To yeye vipi wale wa chimpumu? Hawakupagawishi?

Shemela Evelyn Salt vipi anayechanganya gongo kwenye mbege, hakutii mchecheto??

We Bantu Lady jichagulie mwenyewe, kama ni mchunga ng'ombe sema..!!
 
gongo? no way😀😀😀siwezi aaaah abeeg🙌🏻
 
Havuti bhange
Havuti sigara
Hatafuni mirungi
Hatumii ugoro
Hanywi bia
Hajawahi kupiga punyeto.

Kama mwanaume hujawahi na au hufanyi mojawapo ya hayo ewe dada,, kaa mbali na mwanaume huyo maana ni KIAZI [emoji1648]

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Wa hivi starehe yake mbususu
 
Back
Top Bottom