Navutiwa sana na wanaume wanaovuta bangi au sigara

Navutiwa sana na wanaume wanaovuta bangi au sigara

Naomba msinishangae jamani mwenzenu huu ndiyo udhaifu wangu

Kiukweli huwa nikimuona mwanaume anavuta sigara au bangi nachizika kabisa,nimewahi kuwa na mpenzi wangu alikuwaga anavuta bangi,weeeeee!

Alikuwa akivuta bangi halafu akiniwekea dyudyu,weeee mdomo koma!😂
nipo hapa mvuta bangi. mm sigara situmii kabisa. nilianza na bangi na ninaitumia mara kwa mara
 
Back
Top Bottom