Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 12,576
- 14,522
".....dunia hadaaa walimwengu shujaa"Naomba msinishangae jamani mwenzenu huu ndiyo udhaifu wangu
Kiukweli huwa nikimuona mwanaume anavuta sigara au bangi nachizika kabisa,nimewahi kuwa na mpenzi wangu alikuwaga anavuta bangi,weeeeee!
Alikuwa akivuta bangi halafu akiniwekea dyudyu,weeee mdomo koma!😂