Navutiwa sana na wanaume wanaovuta bangi au sigara

Navutiwa sana na wanaume wanaovuta bangi au sigara

Kwa ivo ukiwa mthabato ndo upandishi kitonga??? Boya wewe jichanganye uone
 
Naomba msinishangae jamani mwenzenu huu ndiyo udhaifu wangu

Kiukweli huwa nikimuona mwanaume anavuta sigara au bangi nachizika kabisa,nimewahi kuwa na mpenzi wangu alikuwaga anavuta bangi,weeeeee!

Alikuwa akivuta bangi halafu akiniwekea dyudyu,weeee mdomo koma![emoji23]
Ray C kiuno bila skeleton usirudie tena wavutaji ganja sio ishu
 
Kanuni ni kupewa wa kufanana naye.

Kwa hiyo nakuelewa.

Ndege wafafanao huruka pamoja.
 
Naomba msinishangae jamani mwenzenu huu ndiyo udhaifu wangu

Kiukweli huwa nikimuona mwanaume anavuta sigara au bangi nachizika kabisa,nimewahi kuwa na mpenzi wangu alikuwaga anavuta bangi,weeeeee!

Alikuwa akivuta bangi halafu akiniwekea dyudyu,weeee mdomo koma![emoji23]
Nikohapa niPM
 
Kuna mgonjwa alikuja kwetu ni mdada wa mjini mkaliiii mwisho tukaangukia penzini
Kuja kushtuka anavuta bangi anataka nimpitishe jangwani kwenye matope
nikamwaga I know atakua anauza tu wanawake wa magomeni sio wanawake
 
Back
Top Bottom