Navutiwa sana na wanaume wanaovuta bangi au sigara

Navutiwa sana na wanaume wanaovuta bangi au sigara

Naomba msinishangae jamani mwenzenu huu ndiyo udhaifu wangu

Kiukweli huwa nikimuona mwanaume anavuta sigara au bangi nachizika kabisa,nimewahi kuwa na mpenzi wangu alikuwaga anavuta bangi,weeeeee!

Alikuwa akivuta bangi halafu akiniwekea dyudyu,weeee mdomo koma![emoji23]
Basi wewe utakuwa unapenda dyudyu sio bangi Wala sigara, sisi wengine hatuvuti bangi lakini tukikuwekea dyudyu utarudi hapa kuja kutoa ushuhuda mpya mark my words [emoji7][emoji7][emoji7]
 
Naijua hiyo.
1702610001832.jpg
 
Naomba msinishangae jamani mwenzenu huu ndiyo udhaifu wangu

Kiukweli huwa nikimuona mwanaume anavuta sigara au bangi nachizika kabisa,nimewahi kuwa na mpenzi wangu alikuwaga anavuta bangi,weeeeee!

Alikuwa akivuta bangi halafu akiniwekea dyudyu,weeee mdomo koma!😂
Samahani, naomba kukuuliza....hivi wewe si Wema Sepetu kweli?
 
Mwanaume awe na pesa, akikosa six pack awe na kakitambi ka kufutia simu😁 avute tubangi au tusigara kidogo kama havuti chochote kati ya hivyo basi awe mlevi akishindwa ulevi awe mnywaji🤣gari ni lazima jamani jua ni kali na mvua pia ni nyingii mweeh😂😂😂😂😂. Bila kusahau awe na mapenzi ya dhatiii kabisa + kucare😂😂😂

Natania jamani🤣🤣🤣👋🏾
Yaani unatania na huku ushatuambia..!! 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom