Fendi
JF-Expert Member
- Sep 4, 2015
- 315
- 410
N
Joo basi kwangu..na mimi nimeanza kuvuta hivyo vyote kuanzia leoNaomba msinishangae jamani mwenzenu huu ndiyo udhaifu wangu
Kiukweli huwa nikimuona mwanaume anavuta sigara au bangi nachizika kabisa,nimewahi kuwa na mpenzi wangu alikuwaga anavuta bangi,weeeeee!
Alikuwa akivuta bangi halafu akiniwekea dyudyu,weeee mdomo koma!😂