Navutiwa sana na wanaume wanaovuta bangi au sigara

Navutiwa sana na wanaume wanaovuta bangi au sigara

Mungu nipe maisha marefu yapo mengi sijayajua kumbe

Sasa tuwalize pole pole nyie jinsia ya KE nini mnataka?

wenye pesa
Wenye six pack
Wavuta bangi/sigara
Wenye gari

Ama vipi mbona mnatuchanganya sasa!
Mwanaume awe na pesa, akikosa six pack awe na kakitambi ka kufutia simu😁 avute tubangi au tusigara kidogo kama havuti chochote kati ya hivyo basi awe mlevi akishindwa ulevi awe mnywaji🤣gari ni lazima jamani jua ni kali na mvua pia ni nyingii mweeh😂😂😂😂😂. Bila kusahau awe na mapenzi ya dhatiii kabisa + kucare😂😂😂

Natania jamani🤣🤣🤣👋🏾
We ledada, jibu lako la kuuwa wanaume linahitajika hapa
 
Jana nilienda mgahawa fulani kula, nikakutana na Dada mrembo sana sana na pete means mke wa mtu.

Hapakua na nafasi ya kukaa ikabidi nikae kiti cha kutazama naye, nikamsalimia, kila mtu akaendelea na mambo yake.

Alipokuja mhudumu nikamwambia "Ni aje Bro" yule Dada akatabasamu sana huku ananiangalia.

Nikamwambia vipi Dada? Tunaenda sawa au kuna shida nikupishe, akasema "napenda sana ulivyo msalimia huyo Kaka" Ni aje bro"

Akaniuliza wewe ni wa Arusha, nikamwambia nimezaliwa huko, kusoma huko, ila kwa sasa nipo Dar es salaam.

.Mazungumzo yalinoga, tukabadilishana namba, na tunaongea etc.

Naweza kuelewa unachosema
Usiache kipeleka moto kichuga ingawa kwa sasa unaishi daa😁
 
Wavuta bangi watamu sana mashalaaah

Achana na hawa wanaojifanya wasomi kutwa nzima YOU KNOW, OFKOZ, yess, me, this .. theee theee theee the the the....

Ukutane na kidume halisi mvuta bangi jamani shangazi mie nalowaaahhh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Lamomy cocastic Dr. Mariposa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wizooo tulikubaliana avute bangi, ila sio kuwa tejaa.

Mbna inaelewekaaaa
 
Back
Top Bottom