[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]habari ndo hiyoo..we weka tarehe tu!!!liwalo na liwe!ngoja nijiandae
Umeshapost hii mwakani nitakuwahi mapema nikupe mbadala.Hahahah kwahiyo ningewaitaje?
Hahahaaaa!! Kumbe je?!!!
Kama yoteerr๐๐๐๐๐๐๐๐Kila la heri mama usisahau kunitumia mapicha
Ulimwengu huu wa teknolojia mtu akuibe kivipi? Afu watu 10 wote wafanywe mbaya na mtu mmoja? Yaani mfano nimeandaa lunch Kilimanjaro Kempisky yale mazingira unayaogopea nini?
Nipo mkuu, Wewe mwenyewe umekua adimTeh teh we mkuu upo? Sijakusoma kitambo sana!
Binamu wewe niweke tu ukintoa figo ndo siku yangu ishafika
Pilika pilika mkuu