Nawaalika warembo wa kula nao bata

Nawaalika warembo wa kula nao bata

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]habari ndo hiyoo..we weka tarehe tu!!!liwalo na liwe!ngoja nijiandae

Ulimwengu huu wa teknolojia mtu akuibe kivipi? Afu watu 10 wote wafanywe mbaya na mtu mmoja? Yaani mfano nimeandaa lunch Kilimanjaro Kempisky yale mazingira unayaogopea nini?
 
Ukiwaita hivi wanajivutavuta ni sawa na umtumie 'mwizi' text umwambie leo mlango upo wazi kaibe .

Word "mwizi" is not there to insult you ladies.

Hahahah kwahiyo ningewaitaje?
 
Ulimwengu huu wa teknolojia mtu akuibe kivipi? Afu watu 10 wote wafanywe mbaya na mtu mmoja? Yaani mfano nimeandaa lunch Kilimanjaro Kempisky yale mazingira unayaogopea nini?

Binamu wewe niweke tu ukintoa figo ndo siku yangu ishafika😀😀😀😀😀😀!!!!nshachoka miyeeee!!!
 
Dules airport eh?

Kasome tena ticket yako imeandikwaje [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom