Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,092
- 9,063
Tunajiandikisha wapi mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Mimi nahitaji only 3 girls wakula nao bata 25-28 dar na Zanzibar tar 24 nitatua dar nikitokea nyangarata mgodini huku..hahahaHello JF kama ule msemo wetu pendwa ulivyo #kazinabata# basi nami nawaalika warembo wa JF wasizidi 10 tule bata pamoja au sio?
Tarehe 26 nitaruka kutoka Washington Dules international Airport kuelekea Dar es Salaam then tarehe 28 nitakua free kwenye viunga vya Dar so napendelea kujulishwa viwanja vipya vya kujivinjari na warembo wangu wa JF!! Baada ya hapo Tarehe 30 tutakua na flight kuelekea Serengeti then Ngorongoro na kurudi Dar es Salaam tarehe 3 January.
Hivyo ukiwa kama mrembo wa JF karibu sana u join nami and all bills zitakuwa juu yangu only nahitaji hangout tuu. Zawadi pia zitakuwepo.
Watakao hitaji karibuni sana hapa au PM.
Karibuni.
Nitamsaidiaje na mimi sio Chae Won? (Mdada wa kwenye avatar)Hahahahaha JF kuna vituko, ulimsaidiaje sasa?
Hivi zawadi yangu haijafika?Njoo huku Buguruni tule bata...sikudanganyi kama mzee wa Tegeta Nyuki...😀😀😀
Jamani jamani. Ikawaje ukamuacha akapotea na mambo yake amazing sasa??Haha mrembo Mzigua90 unajiandikisha hapa hapa... nikionaga hii ID unanikumbusha mrembo fulani wa kizigua alinipa mambo matamu sidhani kama nitayapata tena ktk maisha yangu!! Respect kwa wadada wa kizigua
Jamani jamani. Ikawaje ukamuacha akapotea na mambo yake amazing sasa??
Atakua mtoto wa aunt yangu huyo. Mie shemeji yako
Sawa kakaNtakaa nje
Oops. Pole sana.Hahahah Daah kama atakua ndugu yako itabidi unitafutie mwingine sasa!!
Sikumwacha alitangulia mbele za haki kabla hatujatimiza ndoto zetu!
ndugu yangu kunajimbo hiloo ukitua uje nkupeleke hapa mjin lina watoto wakali tupuuuu, kma unataka wakutumia hzo hela watt wazur utawapata hapoo.....Mim nataka nauli ya bajaji tu mpk hapo kijiwen
Duh ndio nimepokea hapa fanya mpango uje geto kuchukuaHivi zawadi yangu haijafika?
Hayo mambo ya geto hayo [emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210]Duh ndio nimepokea hapa fanya mpango uje geto kuchukua