Nawaalika warembo wa kula nao bata

Nawaalika warembo wa kula nao bata

Hello JF kama ule msemo wetu pendwa ulivyo #kazinabata# basi nami nawaalika warembo wa JF wasizidi 10 tule bata pamoja au sio?

Tarehe 26 nitaruka kutoka Washington Dules international Airport kuelekea Dar es Salaam then tarehe 28 nitakua free kwenye viunga vya Dar so napendelea kujulishwa viwanja vipya vya kujivinjari na warembo wangu wa JF!! Baada ya hapo Tarehe 30 tutakua na flight kuelekea Serengeti then Ngorongoro na kurudi Dar es Salaam tarehe 3 January.

Hivyo ukiwa kama mrembo wa JF karibu sana u join nami and all bills zitakuwa juu yangu only nahitaji hangout tuu. Zawadi pia zitakuwepo.

Watakao hitaji karibuni sana hapa au PM.

Karibuni.
Na Mimi nahitaji only 3 girls wakula nao bata 25-28 dar na Zanzibar tar 24 nitatua dar nikitokea nyangarata mgodini huku..hahaha
 
Tunajiandikisha wapi.?

Haha mrembo Mzigua90 unajiandikisha hapa hapa... nikionaga hii ID unanikumbusha mrembo fulani wa kizigua alinipa mambo matamu sidhani kama nitayapata tena ktk maisha yangu!! Respect kwa wadada wa kizigua
 
Jamani jamani. Ikawaje ukamuacha akapotea na mambo yake amazing sasa??
Atakua mtoto wa aunt yangu huyo. Mie shemeji yako
 
ndugu yangu kunajimbo hiloo ukitua uje nkupeleke hapa mjin lina watoto wakali tupuuuu, kma unataka wakutumia hzo hela watt wazur utawapata hapoo.....Mim nataka nauli ya bajaji tu mpk hapo kijiwen
 
Jamani jamani. Ikawaje ukamuacha akapotea na mambo yake amazing sasa??
Atakua mtoto wa aunt yangu huyo. Mie shemeji yako

Hahahah Daah kama atakua ndugu yako itabidi unitafutie mwingine sasa!!

Sikumwacha alitangulia mbele za haki kabla hatujatimiza ndoto zetu!
 
Hahahah Daah kama atakua ndugu yako itabidi unitafutie mwingine sasa!!

Sikumwacha alitangulia mbele za haki kabla hatujatimiza ndoto zetu!
Oops. Pole sana.
Itabidi twende zigua ukatafute mwingine
 
ndugu yangu kunajimbo hiloo ukitua uje nkupeleke hapa mjin lina watoto wakali tupuuuu, kma unataka wakutumia hzo hela watt wazur utawapata hapoo.....Mim nataka nauli ya bajaji tu mpk hapo kijiwen

Wapi hapo mzee? Nitafurahi ukinipeleka aisee!! Kuhusu usafiri utapanda Bentley mkuu
 
Attachments

  • IMG_20181219_144959.jpg
    IMG_20181219_144959.jpg
    135.9 KB · Views: 14
Back
Top Bottom