kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Ni jadi yao tangu enzi za mababu, wewe unaewadharau watakugezia kibao, kivipi? Wewe mwafrika ulikubali kuacha jadi yako na kufuata ukristu, hapo imekaaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwafrika alishikiwa Bunduki upande mmoja na biblia uoande mwingine.Ni jadi yao tangu enzi za mababu, wewe unaewadharau watakugezia kibao, kivipi? Wewe mwafrika ulikubali kuacha jadi yako na kufuata ukristu, hapo imekaaje?
Imepitwa na Wakati.Moja kwao ni ceremonial na defacto leader ni Prime Minister (Pia inawaingizia Pesa kwa Utalii n.k.)
Nakubaliana hapa-Tungo'ke huko COMMONWEALTHMbili wewe unaowashangaa hao na tamaduni zao lakini bado upo chini ya Commonwealth ?
Brand Finance estimates that in 2017 the Monarchy generated a gross uplift of £1.766 billion to the UK economy. The contribution includes the Crown Estate's surplus as well as the Monarchy's indirect effect on various industries.Imepitwa na Wakati.
Nakubaliana hapa-Tungo'ke huko COMMONWEALTH
Well, He is "Not my King"Brand Finance estimates that in 2017 the Monarchy generated a gross uplift of £1.766 billion to the UK economy. The contribution includes the Crown Estate's surplus as well as the Monarchy's indirect effect on various industries.
Alafu wewe huku ambaye unaendeshwa kama monarchy kwa kujidanganya kwamba ni demokrasia eti unaleta story za imepitwa na wakati.... (their system generate them income yours takes from your coffers and its not even you who choses your leader)....
Heri Udikteta Kuliko Maigizo ya Demokrasia
Tukumbushane tu..., Sisemi kwamba hili linatokea Sasa lakini Kutumika kwa Rasilimali Fedha na Muda kwenye Maigizo ya Demokrasia au Kutumia Pesa kwa Propaganda, ni bora Muda na Pesa hizo zikatumika kuleta maendeleo kwa Wananchi wanaojua Demokrasia haipo (Maigizo yana Gharama isiyo na Tija...www.jamiiforums.com
Sasa mimi ndio nakwambia wewe ambaye unajiona haupo kwenye Ufalme ndio practically unatawaliwa kifalme iliyovikwa na Demokrasia kwao hao its just ceremonial na zaidi ya hapo wanaitumia sana kwa tourism na inawaingizia pesa... kuhusu watu kuandamana hata CCM so called waliochaguliwa kwa Kura kuna watu wanaandamana kuwakataa.... (and the difference is they have real power not ceremonial)Well, He is "Not my King"
Ndugu, Nchi zilizo ndani ya Himaya ya Ufalme huo ndio wanaosema Ufalme "Umepitwa na Wakati"
Wacha porojo.
👇🏿https://edition.cnn.com/2022/09/16/europe/anti-monarchy-protests-police-intl-gbr/index.html
👇🏿![]()
Nitajie utawala wowote duniani tena ambao sio ceremonial nikuonyeshe watu wanaowapinga (against it)
555😂😂😂😂Nitajie utawala wowote duniani tena ambao sio ceremonial nikuonyeshe watu wanaowapinga (against it)
Nchi nyingi tu zina mfumo wa utawala wa kifalme. Ni utamaduni tuKatika vitu ambavyo naviona ni primitive kwenye dunia ya leo, ni pamoja na Tawala za Kifalme.
Kuamini kizazi cha mtu mmoja ndio kinafaa na kinastahili kuongoza watu katika taifa fulani, kwangu ulikuwa ujinga wa mtu wa kale na ni miongoni mwa mambo ambayo binadamu wa leo ambae tunaamini yuko civilised, hapaswi kuyaendeleza.
Kwakweli Waingereza nimeshindwa kuwaelewa mpaka leo kukumbatia Ufalme.
Japo Uingreza ni taifa lililoendelea miaka mingi iliyopita, ila kwa hili la kulea Ufalme hakika nimewadharau na mpaka leo sipati majibu kwanini hawataki kuondokana na hii system iliyokuwepo hata kabla ya Yesu kuzaliwa.
Na sisi tuliokubali kuwa chini ya jumuiya ya madola?Katika vitu ambavyo naviona ni primitive kwenye dunia ya leo, ni pamoja na Tawala za Kifalme.
Kuamini kizazi cha mtu mmoja ndio kinafaa na kinastahili kuongoza watu katika taifa fulani, kwangu ulikuwa ujinga wa mtu wa kale na ni miongoni mwa mambo ambayo binadamu wa leo ambae tunaamini yuko civilised, hapaswi kuyaendeleza.
Kwakweli Waingereza nimeshindwa kuwaelewa mpaka leo kukumbatia Ufalme.
Japo Uingreza ni taifa lililoendelea miaka mingi iliyopita, ila kwa hili la kulea Ufalme hakika nimewadharau na mpaka leo sipati majibu kwanini hawataki kuondokana na hii system iliyokuwepo hata kabla ya Yesu kuzaliwa.
Aisee hivi hata kusoma unajua ? Nimemwambia jamaa kabla ya kuwashangaa hao ajishangae yeye ambaye yupo Commonwealth.., and by the way kuwa kwako Commonwealth kunapunguzia nini ? Ni sawasawa wewe uwe umesoma mchangani baada ya muda kuna Chama cha watu wa Mchangani useme kuwemo humo ni upuuzi..., These things are ceremonial havina cha zaidi... na sio UK tu hata Japan, Morocco, Belgium, Canada, Australia to name just a few.... defacto leaders ni Prime Ministers..., Sasa wewe unayesema upo kwenye demokrasia lakini practically you are in a monarchy ya Ukoo wa CCM....555😂😂😂😂
Sasa unachopinga ni nini? Manake kwa maandishi yako ni kuwa hayo yalikuwa mawazo yangu(mwafrika).
Please deal with the Truth.
Sasa unasemaje, Tungo'oke huko COMMONWEALTH....
...ama nasisi tuufyate tukisubiri kudondoshewa hizo 1.6billion £?
c'mon
Shida za maji ni za kutengeneza. Kukaa kwenye dawati pia hakumaanishi kwamba ndio utajua kusoma na kuandika.Pamoja na kuongozwa kifalme hawana shida ya maji, madawati wala barabara.
Ni chini ya Jumuiya ya Madola au Mwanachama wa Jumuiya ya Madola ? There is a Big differenceNa sisi tuliokubali kuwa chini ya jumuiya ya madola?
Sijui unachokipinga.Aisee hivi hata kusoma unajua ? Nimemwambia jamaa kabla ya kuwashangaa hao ajishangae yeye ambaye yupo Commonwealth.., and by the way kuwa kwako Commonwealth kunapunguzia nini ? Ni sawasawa wewe uwe umesoma mchangani baada ya muda kuna Chama cha watu wa Mchangani useme kuwemo humo ni upuuzi..., These things are ceremonial havina cha zaidi... na sio UK tu hata Japan, Morocco, Belgium, Canada, Australia to name just a few.... defacto leaders ni Prime Ministers..., Sasa wewe unayesema upo kwenye demokrasia lakini practically you are in a monarchy ya Ukoo wa CCM....
Aisee hebu rudia kusoma tangia nilipoanza kuandika alafu uniambie wapi nimepinga..., (Mimi muumini wa to each his/her own siwezi kumpinga mtu kuhusu kitu zaidi ya kuonyesha loopholes kwenye premise yake)Sijui unachokipinga.
Kama unasema hakuna ubaya wa mzungu kuwa na monarchy, kwanini iwe inakutatiza mimi nikiwa chini ya monarchy ya CCM?
Aisee hivi hata unajua maana na features za hio commonwealth na ambayo sasa hivi wanataka walete modern commowealth ? Kuwa kwako Commonwealth hakuna tofauti na kama ulivyokuwa kwako kwenye Jumuiya yoyote ya nchi ambayo mna common goals au mnashare vitu fulani...,its purely voluntary hata mkitaka kesho mnaweza kujitoa...., for what benefit ? Nadhani hilo ndio swali muhimu...Kuwa kwangu Kwenye hiyo UNCOMMONWEALTH kunaninyima kupata Katiba mpya.
Bila ridhaa ya Members wote wa Jumuiya hii ikiongozwa na Dhulumat charles siwezi pata Hiyo katiba ninayotaka.