Nawadharau sana Waingereza kwa kuendeleza utawala wa Kifalme

Ni jadi yao tangu enzi za mababu, wewe unaewadharau watakugezia kibao, kivipi? Wewe mwafrika ulikubali kuacha jadi yako na kufuata ukristu, hapo imekaaje?
 
Moja kwao ni ceremonial na defacto leader ni Prime Minister (Pia inawaingizia Pesa kwa Utalii n.k.)

Mbili wewe unaowashangaa hao na tamaduni zao lakini bado upo chini ya Commonwealth ?
 
Ni jadi yao tangu enzi za mababu, wewe unaewadharau watakugezia kibao, kivipi? Wewe mwafrika ulikubali kuacha jadi yako na kufuata ukristu, hapo imekaaje?
Mwafrika alishikiwa Bunduki upande mmoja na biblia uoande mwingine.

Mwafrika hakutaka kuacha jadi na utamaduni wake, bali alilazimishwa kwa mtutu wa Bunduki.

Muwe mnafanya kautafiti kidogo badala ya kupotosha umma.

Hatahivyo, Ufalme wa Uingereza utabakia kuwa ni Ufalme dhulumat Duniani.
 
Imepitwa na Wakati.

Nakubaliana hapa-Tungo'ke huko COMMONWEALTH
Brand Finance estimates that in 2017 the Monarchy generated a gross uplift of Β£1.766 billion to the UK economy. The contribution includes the Crown Estate's surplus as well as the Monarchy's indirect effect on various industries.

Alafu wewe huku ambaye unaendeshwa kama monarchy kwa kujidanganya kwamba ni demokrasia eti unaleta story za imepitwa na wakati.... (their system generate them income yours takes from your coffers and its not even you who choses your leader)....

 
Well, He is "Not my King"

Ndugu, Nchi zilizo ndani ya Himaya ya Ufalme huo ndio wanaosema Ufalme "Umepitwa na Wakati"

Wacha porojo.

πŸ‘‡πŸΏhttps://edition.cnn.com/2022/09/16/europe/anti-monarchy-protests-police-intl-gbr/index.html

πŸ‘‡πŸΏ
 
Sasa mimi ndio nakwambia wewe ambaye unajiona haupo kwenye Ufalme ndio practically unatawaliwa kifalme iliyovikwa na Demokrasia kwao hao its just ceremonial na zaidi ya hapo wanaitumia sana kwa tourism na inawaingizia pesa... kuhusu watu kuandamana hata CCM so called waliochaguliwa kwa Kura kuna watu wanaandamana kuwakataa.... (and the difference is they have real power not ceremonial)
 
Nitajie utawala wowote duniani tena ambao sio ceremonial nikuonyeshe watu wanaowapinga (against it)
555πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Sasa unachopinga ni nini? Manake kwa maandishi yako ni kuwa hayo yalikuwa mawazo yangu(mwafrika).

Please deal with the Truth.

Sasa unasemaje, Tungo'oke huko COMMONWEALTH....

...ama nasisi tuufyate tukisubiri kudondoshewa hizo 1.6billion Β£?
c'mon
 
Narudia.

Ufalme wa Uingereza utabakia kuwa ndio Ufalme Katili na Dhalimu Duniani.

Yaani hawa Wazungu wa Uingereza ndio walio vuruga dunia hii na Ukoloni wao.

Hata hizi vita na migogoro, Kuanzia Asia, Ulaya, waasisi wake ni Waingereza.

Let me take that back, Ufalme wa Uingereza kwa namna moja au nyingine, mkono wake unahusishwa na migogoro karibia yote Duniani.

======

Mihogo yangu ishaiva.
Lala UnonoπŸ”₯🐼
 
Nchi nyingi tu zina mfumo wa utawala wa kifalme. Ni utamaduni tu
 
Pamoja na kuongozwa kifalme hawana shida ya maji, madawati wala barabara.
 
Kuna zaidi ya hicho tunachofikilia!

Kuna blood inalindwa isipotee kamwee na hakuna njia nyingine ya kuilinda zaidi ya kupitia mfumo huo
 
Na sisi tuliokubali kuwa chini ya jumuiya ya madola?
 
Aisee hivi hata kusoma unajua ? Nimemwambia jamaa kabla ya kuwashangaa hao ajishangae yeye ambaye yupo Commonwealth.., and by the way kuwa kwako Commonwealth kunapunguzia nini ? Ni sawasawa wewe uwe umesoma mchangani baada ya muda kuna Chama cha watu wa Mchangani useme kuwemo humo ni upuuzi..., These things are ceremonial havina cha zaidi... na sio UK tu hata Japan, Morocco, Belgium, Canada, Australia to name just a few.... defacto leaders ni Prime Ministers..., Sasa wewe unayesema upo kwenye demokrasia lakini practically you are in a monarchy ya Ukoo wa CCM....
 
Pamoja na kuongozwa kifalme hawana shida ya maji, madawati wala barabara.
Shida za maji ni za kutengeneza. Kukaa kwenye dawati pia hakumaanishi kwamba ndio utajua kusoma na kuandika.

Fikiria, mtu hufa baada ya siku chache kwa kukosa maji.

Unataka kusema kulikuwa na watu wanajifia tu kwasababu ya kukosa maji? For millions of Years?



Hao wazungu walivyokuja, Je hawakuwakuta Waafrika wakinywa maji masafi?
=======

Haya maji ya bombabi mnaoyadai ni masafi ni mchanganyiko wa vinyesi tu.

Na Sio wafalme wa kizungu waliogundua maji.

panua fuvu
 
Sijui unachokipinga.

Kama unasema hakuna ubaya wa mzungu kuwa na monarchy, kwanini iwe inakutatiza mimi nikiwa chini ya monarchy ya CCM?

Kuwa kwangu Kwenye hiyo UNCOMMONWEALTH kunaninyima kupata Katiba mpya.

Bila ridhaa ya Members wote wa Jumuiya hii ikiongozwa na Dhulumat charles siwezi pata Hiyo katiba ninayotaka.
 
Sijui unachokipinga.

Kama unasema hakuna ubaya wa mzungu kuwa na monarchy, kwanini iwe inakutatiza mimi nikiwa chini ya monarchy ya CCM?
Aisee hebu rudia kusoma tangia nilipoanza kuandika alafu uniambie wapi nimepinga..., (Mimi muumini wa to each his/her own siwezi kumpinga mtu kuhusu kitu zaidi ya kuonyesha loopholes kwenye premise yake)

Kuanzia mwanzo nimemwambia jamaa asiwashangae hao sababu kwanza monarchy ni just ceremonial na inawaingizia mapato, mbili angejishangaa yeye ambaye yupo katika defacto monarchy tena anaigharamikia kwa ulaghai kwamba ni demokrasia...
Kuwa kwangu Kwenye hiyo UNCOMMONWEALTH kunaninyima kupata Katiba mpya.

Bila ridhaa ya Members wote wa Jumuiya hii ikiongozwa na Dhulumat charles siwezi pata Hiyo katiba ninayotaka.
Aisee hivi hata unajua maana na features za hio commonwealth na ambayo sasa hivi wanataka walete modern commowealth ? Kuwa kwako Commonwealth hakuna tofauti na kama ulivyokuwa kwako kwenye Jumuiya yoyote ya nchi ambayo mna common goals au mnashare vitu fulani...,its purely voluntary hata mkitaka kesho mnaweza kujitoa...., for what benefit ? Nadhani hilo ndio swali muhimu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…