Nawadharau sana Waingereza kwa kuendeleza utawala wa Kifalme

We have alot of common ground on this.

👇🏿Kuanzia mwanzo nimemwambia jamaa asiwashangae hao sababu kwanza monarchy ni just ceremonial na inawaingizia mapato, mbili angejishangaa yeye ambaye yupo katika defacto monarchy tena anaigharamikia kwa ulaghai kwamba ni demokrasia...
Ndio nasema, ili kujiondoa kwenye adha hiyo, Tungo'ke huko. Kuna faida gani?
 
Hii nakumbuka ni wakati nafikiri Chaz alienda York na walikuwa wachache sana waliobeba mabango wakimkataa Chaz kama mfalme ingawa walikuwa wanampenda Queen na kumkubali
Walihojiwa mmoja wao akasema hafai kuwa mfalme
Ingawa wananchi wengi wanapenda wawepo
Nchi 15 zipo chini yake akiwa Mfalme wao
Ila atamuachia Mwanae soon
Kwa mimi naona sawa tu
 

Mmh kama kupanua fuvu ndio nakuja na output kama hii uliyoandika, hapana asee. I need no extension asee.

Kha!
 
It’s the sane

We now to the kwiin
Kuwa member ni kama kuwa member wa club fulani ya wadau ambapo umember wako unakupa some benefits ambazo member wengine hawana.... its purely voluntary


I
 
Hapana
Hapana bro jamaa analeta challenge ili angalau ufunguke zaid

Tunaofatilia ni wengi sana tunapenda kujifunza kupitia ninyi ambao MUNGU amewajalia kuitafuta elimu

Asanten sana endeleen kutuelimisha
 
Aisee, this is more than an obsession. Ndani ya uzi huu tu, umenijibu mara 7. Halafu unachojibu ni kama unalazimisha niongee na wewe. Dude are you straight ???
Usipanik kaka endeleen kutoa elimu naona unataka kutoka mchezon
 
We kwa nini Hadi Leo unapokea au inatoa mahari?

Kwenye suala La mfumo wa maisha Kila mtu anataratibu zake au Kila Jamii inataratibu zao na ziheshimiwe.

Mfumo wa kiutawala kwanza hatupaswi wote tufanane. Huku kutaka kufanana ndio kumepelekea vita nyingi sana duniani. Kuna kundi tola enzi na enzi wao ndio viongozi na wameweza kwenye kuongozwa ghafla tunataka Kiongozi achaguliwe kwa kura. Kura zenyewe za kuiba.

Africa kukiwa na mfumo wa machifu hakuna vita. Mifano ipo mingi somalia vs Eswatin, Morocco vs Rwanda etc

Kote huko aidha Kuna amani maana Kiongozi wao ni mfalme ama vurugu maana makundi yanataka uongozi
 
Naitwa nannyeje kupwaira kutoka lidumbi ntoni newala nalipanda jukwaa la dw kuitaka serikali ya uwingereza iachane mara moja na utawala wa kifalme naomba kulishuka jukwaa.
 
Wadharau uwezavyoo yaani nasemaje we endelea kuwadharau tuu mkuu
 
Hata mimi binafasi sipendi huo mfumo.

Lakini kwa upande mwingine, mfano ungekuwa mdengereko, halafu karibia dunia nzima inatumia kidengereko kama lugha yao ya mawasiliano na hata kazini na kwenye masomo.

Hapo usingeweza kudharau wala kuchukia utawala wa chifu wako wa kidengereko.

The fact kwamba waliitawala dunia na influence yao bado ipo, hilo linawapa “upper hand “ ya kuheshimiwa na kuendelea kukubalik na waingereza walio wengi. Ndiyo maana wana savaivu kashfa nyingi tu.

Unadhani Kwanini rais wa marekani lazima atie timu kule akishinda?
 
Utawala wa kifalme uingereza hauna athari yoyote as long as democrasia yao ipo imara. Kiongozi wa kifalme ni ceremonial leader, hana mamlaka yoyote ya kiutendaji.
Anaweza asiwe na mamlaka, lakini ana influence kubwa kwenye maamuzi ya wenye hayo mamlaka. Na wenye mamlaka lazima wapate baraka zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…