Nawadharau sana Waingereza kwa kuendeleza utawala wa Kifalme

Wewe Tangu TZ inapata uhuru mpaka leo hii unaongozwa na CCM... kuna tofauti gan na utawala wa familia ya kifalme tu??
Tunasema nchi yetu ni ya mfumo wa vyama vingi, lakin in deep hili swala si la kweli.. CCM itampa madaraka CCM anaefuata, just like utawala wa kifalme kwenye kurithishana madaraka.
Umalile Nkamu🤣
 
Katika vitu ambavyo naviona ni primitive kwenye dunia ya leo, ni pamoja na tawala za kifalme.

Kuamini kizazi cha mtu mmoja ndio kinafaa na kinastahili kuongoza watu katika taifa fulani, kwangu ulikuwa ujinga wa mtu wa kale na ni miongoni mwa mambo ambayo binadamu wa leo ambae tunaamini yuko civilised, hapaswi kuyaendeleza . Kwakweli Waingereza nimeshindwa kuwaelewa mpaka leo kukumbatia ufalme.

Japo uingeraza ni Taifa lililoendelea miaka mingi iliyopita, ila kwa hili la kulea ufalme hakika nimewadharau na mpaka leo sipati majibu kwanini hawataki kuondokana na hii system iliyokuwepo hata kabla ya Yesu kuzaliwa.
nchi Nyingi zenye Demokrasia ya kweli maendeleo watu ni madogo

1. Nchi za Scandnavia ambazo maendeleo watu ni makubwa wana wafalme, kina Norway, Denmark etc
2. Nchi za Gulf zina wafalme na Masultan
3. mashariki ya Mbali Japan utamkuta Emperor Naruhito

hata nchi ambazo unakuta wananchi wanachagua demokrasia inakuwa kama changa la macho Mfano Democrat na Republican una choice ya wawili tu, chagua left wing ama right wing huna choice ya kufikiria nje ya box.

njoo huku kwetu sasa, fujo pro max.
 
Hapo Chadema hamna Mfalme?
 
jipige kifua mara 3 sema mimi ni MJINGA
 
Eti kamtu Kako nchi ya dunia ya tatu, nchi ambayo hata maji ya bomba shida,bajeti karibu yote ni hela ya msaada kanaita nchi ambayo inawapa sehemu kubwa ya bajeti Yao primitive! Hio nchi primitive iko mbali yenu miaka 1000
 
Uingereza ina kitu kinaitwa Mixed Government (Monarchy, Aristocracy and Democracy). Huu mfumo hauishii kwenye familia ya kifalme peke yake, bali unaenda hata kwenye Bunge lao. Nchini Uingereza mpaka leo hii lina nafasi tisini (90) za wabunge ambao huzirithi kutoka kwa familia zao. Yaani mtu unazaliwa tu tayari una nafasi ya ubinge inakusubiri......

Tena siku hizi wamebadilika, zamani The House Lords (Upper House) ambako wanakaa mabwanyenye walikuwa na uwezo wa kupinga (Power to Veto) miswada na sheria mbalimbali inayotungwa na wabunge ambao wanachaguliwa na raia wa Uingereza (The Commons). Ndiyo maana huwa nawashangaa sana mnavyotamani kuiga hii mifumo ya watu......

NB: Hili la Uingereza halina tofauti sana na kinachoendela kule CHADEMA baina ya Mbowe na Mtei......
 
Katika vitu ambavyo naviona ni primitive kwenye dunia ya leo, ni pamoja na tawala za kifalme.

Kuamini kizazi cha mtu mmoja ndio kinafaa na kinastahili kuongoza watu katika taifa fulani, kwangu ulikuwa ujinga wa mtu wa kale na ni miongoni mwa mambo ambayo binadamu wa leo ambae tunaamini yuko civilised, hapaswi kuyaendeleza . Kwakweli Waingereza nimeshindwa kuwaelewa mpaka leo kukumbatia ufalme.

Japo uingeraza ni Taifa lililoendelea miaka mingi iliyopita, ila kwa hili la kulea ufalme hakika nimewadharau na mpaka leo sipati majibu kwanini hawataki kuondokana na hii system iliyokuwepo hata kabla ya Yesu kuzaliwa.
Madhara ya kunywa maji ya kisima yaliyochanganyika na kinyesi lazima utaongea utumbo
 
Katika vitu ambavyo naviona ni primitive kwenye dunia ya leo, ni pamoja na tawala za kifalme.

Kuamini kizazi cha mtu mmoja ndio kinafaa na kinastahili kuongoza watu katika taifa fulani, kwangu ulikuwa ujinga wa mtu wa kale na ni miongoni mwa mambo ambayo binadamu wa leo ambae tunaamini yuko civilised, hapaswi kuyaendeleza . Kwakweli Waingereza nimeshindwa kuwaelewa mpaka leo kukumbatia ufalme.

Japo uingeraza ni Taifa lililoendelea miaka mingi iliyopita, ila kwa hili la kulea ufalme hakika nimewadharau na mpaka leo sipati majibu kwanini hawataki kuondokana na hii system iliyokuwepo hata kabla ya Yesu kuzaliwa.
Shughulika na ufalme ccm iliyojisimikia Tanzania, ya Uingereza waachie wenyewe hutayaelewa.
 
Mimi nadhani ni mfumo mzuri kwa kuwa wananchi wa uingereza wenyewe wameuridhia na unawapa kile ambacho wanakitaka.....
Wanafalsafa wakubwa duniani kama Socrates, Plato na Marcus Aurelius walikuwa wanaamini kwamba huu mfumo wa Mixed Government (Monarchy, Aristocracy and Democracy) ndiyo njia sahihi kabisa ya kuongoza nchi. Hii ya kuruhusu kila mtu tu anayejua kuongea kuwa kiongozi kwasababu tu watu wengi wanamtaka huleta sana shida kwenye mataifa mengi.

Unakuta hata wale wajinga na maarufu (Demagogues) wanateuliwa na kushika nyadhifa za nchi, ilhali tunafahamu fika kwamba hawana uwezo wala maadili ya kuwa viongozi wa ummah. Hata Marekani kwenyewe hawaruhusu Demokrasia ambayo wanaharakati wetu wanaihubiri.....
 
nchi Nyingi zenye Demokrasia ya kweli maendeleo watu ni madogo

1. Nchi za Scandnavia ambazo maendeleo watu ni makubwa wana wafalme, kina Norway, Denmark etc
2. Nchi za Gulf zina wafalme na Masultan
3. mashariki ya Mbali Japan utamkuta Emperor Naruhito

hata nchi ambazo unakuta wananchi wanachagua demokrasia inakuwa kama changa la macho Mfano Democrat na Republican una choice ya wawili tu, chagua left wing ama right wing huna choice ya kufikiria nje ya box.

njoo huku kwetu sasa, fujo pro max.
Kwamba fujo pro max, Wazungu walituharibia utawala wetu wa kitemi huo ndio ulikuwa sahihi sana lkn hii Demokrasia ya vyama vingi ni uongo tu na fujo
 
Wanafalsafa wakubwa duniani kama Socrates, Plato na Marcus Aurelius walikuwa wanaamini kwamba huu mfumo wa Mixed Government (Monarchy, Aristocracy and Democracy) ndiyo njia sahihi kabisa ya kuongoza nchi. Hii ya kuruhusu kila mtu tu anayejua kuongea kuwa kiongozi kwasababu tu watu wengi wanamtaka huleta sana shida kwenye mataifa mengi.

Unakuta hata wale wajinga na maarufu (Demagogues) wanateuliwa na kushika nyadhifa za nchi, ilhali tunafahamu fika kwamba hawana uwezo wala maadili ya kuwa viongozi wa ummah. Hata Marekani kwenyewe hawaruhusu Demokrasia ambayo wanaharakati wetu wanaihubiri.....
Unashauri ili sisi tuwe vizuri tufuate mfumo upi mzee?
 
Back
Top Bottom