Nawafafanulia vipi wanaodhani Iran na vikundi vyake wanashinda vita wakati Israel inanyakua vichwa vingi vya viongozi wa juu?

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Wao husema wanakipenda kifo kama ilivyo kwa watu wa kawaoda wanavyothamini uhai, ajabu ni kwamba Israel ikitungua viongozi wakuu kuna vilio na misagano ya meno.

Israel inaendelea kula vichwa vya viongozi wakubwa kwa spid ya ajabu, Pamoja na kujificha kwenye mahandaki yenye zege zito, Israel inawafikia kunako

Viongozi wote wa juu wa Hezbollah wameliwa vichwa, Wiki iliyopita walimla kichwa kiongozi wa Hezbollah, wiki hio hio wakamla kichwa alietaka kuichukua nafasi hio, Leo hii wamekula kichwa cha Kamanda mkuu wa isafirishaji ndani ya Hebollah,

H chart.jpg

Huko Iran ngome kuu, Rais alitunguliwa kwenye helikopta, wiki hii wamekula kichwa kingine cha kamanda mkuu wa Quds kitengo cha jeshi kikubwa zaidi Iran.

Viongozi kibao wa Hamas wameliwa vichwa akiwemo kamanda mkuu alietegewa bomu chini ya kitanda akiwa ikulu ndogo ya Iran yenye ulinzi wa special forces akisubiria uapisho wa rais mpya.
 
Wapime uwezo wa kijeshi wa US, UK na Israel kisha walinganishe na Iran na Proxies wake Hezbollah, Houthis na wengine walioko Syria na Iran.

Simple tu hautumii nguvu wala akili.

Majuzi Aljazeera ilionesha TR3B Aircraft ya US ikiintercept makombora kutoka Iran.

Kumekuwa na maneno ya chini kusa US wametengeneza hii ndege miaka kadhaa nyuma lakini haikuwa kuonekana hadharani, imeonekana kwa mara ya kwanza.
 
Utafafanua vp ikiwa bado mpaka sasa wameshindwa kukomboa mateka wao na hawajui watawakomboa lini!
Ikiwa hammas bado anaishambulia Israel kutoko ghaza kwa roketi tena anaishambulia tel aviv.
 
Israel inaendelea kula vichwa vya viongozi wakubwa kwa spid ya ajabu, Pamoja na kujificha kwenye mahandaki yenye zege zito, Israel inawafikia kunak...
Bro achana nao.

We jiulize ni mara ngapi Israel imetoa ushahidi kwamba Hamas na Hizbollah wanatumia human shields kujilinda, na hio tactic haijaanza leo ni ya muda mrefu sana lengo ni Israel ionekane inaua raia, ukiachana na hilo Israel wametoa evidence na video wakionyesha jinsi makombora ya Hamas na Hizbollah yalirushwa kutokea nyumba za watu na misikiti ila Israel ikishambulia hayo maeneo na kuua raia lawama zinaenda kwa Israel, Hamas ni wapumbavu sana, na bado watu wanawatetea na kuishutumu Israel kwa kuua raia.

Mnataka Israel iongee lugha gani muelewe?

Wacha wafe tuu!
 
Itakuwa ni Maajabu TAIFA LA MASHOGA kushinda vita..
Na ikitokea TAIFA LA MASHOGA limeshinda vita nahama kwenye hii dunia.
 
Israel inaendelea kula vichwa vya viongozi wakubwa kwa spid ya ajabu, Pamoja na kujificha kwenye mahandaki yenye zege zito, Israel inawafikia kunako

Viongozi wote wa juu wa Hezbollah wameliwa vichwa, Wiki iliyopita walimla kichwa kiongozi wa Hezbollah, wiki hio hio wakamla kichwa alietaka kuichukua nafasi hio, Leo hii wamekula kichwa cha Kamanda mkuu wa isafirishaji ndani ya Hebollah,

View attachment 3118950

Huko Iran ngome kuu, Wamekula kichwa kamanda mkuu wa kitengo cha Quds kilichowahi kuongozwa na Solemni, Rais walimtungua hewan akiwa kwenye helikopta,.

Viongozi kibao wa Hamas wameliwa vichwa akiwemo kamanda mkuu alietegewa bomu chini ya kitanda akiwa ikulu ndogo ya Iran kusubiria uapisho wa rais mpya.
kimsynboy

Usijali kimsboy atachukua uongozi!;
Naye wakimgeuz kibla Wabasu atatake kamand
 
Israel inaendelea kula vichwa vya viongozi wakubwa kwa spid ya ajabu, Pamoja na kujificha kwenye mahandaki yenye zege zito, Israel inawafikia kunako

Viongozi wote wa juu wa Hezbollah wameliwa vichwa, Wiki iliyopita walimla kichwa kiongozi wa Hezbollah, wiki hio hio wakamla kichwa alietaka kuichukua nafasi hio, Leo hii wamekula kichwa cha Kamanda mkuu wa isafirishaji ndani ya Hebollah,

View attachment 3119006

Huko Iran ngome kuu, Rais alitunguliwa kwenye helikopta, wiki hii wamekula kichwa kingine cha kamanda mkuu wa Quds kitengo cha jeshi kikubwa zaidi Iran.

Viongozi kibao wa Hamas wameliwa vichwa akiwemo kamanda mkuu alietegewa bomu chini ya kitanda akiwa ikulu ndogo ya Iran yenye ulinzi wa special forces akisubiria uapisho wa rais mpya.
Mapambano yana endelea hata afe nani , ile ni taasisi ina mfumo kwahiyo akifa kiongozi mipango iko pale pale
 
ajabu ni kwamba wanaosema wanakipenda kifo kama waisrael wanavyopenda uhai, wanalalamika na kutoa vilio viongozi wao wakipewa wanachokitaka
 
Sasa kama unakaa juu unapiga chini mabomu tu mpaka raia kwanini watu wasiseme?
 
Wengi ni wale wenye IQ ndogo kama ya allah hivyo subiri washuhudie wenyewe.
Pumzi inakupa kibri sana, je wale waliokufa kwenye ajali za hivi karibuni na wengine wamekufa kwa heart attack walijua siku hiyo watakufa! Hivyo usijisahau ukajua hutakufa.
 
Back
Top Bottom