Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ningekuwa wewe ninacho Fanya let say zimebaki wiki mbili ninacho Fanya ni kuwafundisha kwa njia ya maswali!
Nahakikisha nime wapa maswali tofauti tofauti yanayo husiana na topic husika kwa njia ya group assignment kila Siku at least maswali matano!
Nina uhakika wakija kuingia kwenye mtihani wa mwisho watakuwa wameiva!
Ila naona nao kama wanazidi kukata tamaa. Ila nitajaribu ingawa hii njia ya kuwanywesha watu kwa bomba kubwa wakati koromeo lao dogo siipendi kabisa!
Siwezi kubisha ila hili tatizo linajirudia rudia sana....
Na mbaya zaidi limeanza siku za hivi karibu. Kabla sijataafu wanafunzi walikuwa wanafanya vizuri tu!
Ni kwa vile nimechoka?
Very interesting.
Naamini sitachanganyikiwa zaidi.
Siwezi kubisha ila hili tatizo linajirudia rudia sana....
Na mbaya zaidi limeanza siku za hivi karibu. Kabla sijataafu wanafunzi walikuwa wanafanya vizuri tu!
Ni kwa vile nimechoka?
Ndugu zangu wana MMU,
Naomba mnisaidie jambo ambalo limenikwaza kidogo. Ngoja nijaribu kueleza mambo yalivyonibana,
Tuchukulie kwamba wewe ni mwalimu ambaye unafundisha wanafunzi ambao ni walimu watarajiwa (mwalimu wa walimu). Bahati mbaya somo lako linawapa taabu sana na hawaonekani kuelewa vitu vya msingi. Muda unaenda na wanatakiwa kufanya mtihani wa kumaliza masomo. Wewe mwenyewe ndiye unautunga na kusahihisha. Kwa vile muda wa kufanya mtihani bado kidogo, utawasaidiaje vijana wako ili walaulu? Na si kufaulu tu, ila huko mbele ya safari waweze kufundisha wanafunzi wao vizuri?
Je, utawapitisha hivyo hivyo....liwalo na liwe? Au utabanana nao hadi kieleweke? Kwamba hata wakifeli wote, potelea mbali kuliko kupeleka makapi uraiani?
Wenu katika kizungumkuti,
Babu DC!!
cc: Asprin, Kaizer, Fixed Point, King'asti, Mtambuzi, snowhite, gfsonwin, Mbu, Paloma, CHUAKACHARA, Mwanyasi, KOKUTONA, YNNAH, Arabela (sitakunyaka mdogo wangu), MwanajamiiOne, watu8..
Kwa hiyo nichape supp za kutosha na wengine wakariri mwaka?
Ungekuwa wewe ndiye denti ungejisikiaje??
Nimechanganywa mkuu ujue?
Umemaliza. Yaani sijui kwa nini babu anauliza swali kama hili??!!! Anataka kufanya ile kitu wanaita "professional dishonest" ili tu watoto wafaulu. Yaani hapo hakuna mtihani kabisa, inatakiwa afuate utaratibu tu basi, case closed.hii thread kwa nin umeileta jukwaa hili? Btw we fuata principles za kufundisha zinasemaje si ulijifunza ethics za teaching mkuu?
Ndugu zangu wana MMU,
Naomba mnisaidie jambo ambalo limenikwaza kidogo. Ngoja nijaribu kueleza mambo yalivyonibana,
Tuchukulie kwamba wewe ni mwalimu ambaye unafundisha wanafunzi ambao ni walimu watarajiwa (mwalimu wa walimu). Bahati mbaya somo lako linawapa taabu sana na hawaonekani kuelewa vitu vya msingi. Muda unaenda na wanatakiwa kufanya mtihani wa kumaliza masomo. Wewe mwenyewe ndiye unautunga na kusahihisha. Kwa vile muda wa kufanya mtihani bado kidogo, utawasaidiaje vijana wako ili walaulu? Na si kufaulu tu, ila huko mbele ya safari waweze kufundisha wanafunzi wao vizuri?
Je, utawapitisha hivyo hivyo....liwalo na liwe? Au utabanana nao hadi kieleweke? Kwamba hata wakifeli wote, potelea mbali kuliko kupeleka makapi uraiani?
Wenu katika kizungumkuti,
Babu DC!!
cc: Asprin, Kaizer, Fixed Point, King'asti, Mtambuzi, snowhite, gfsonwin, Mbu, Paloma, CHUAKACHARA, Mwanyasi, KOKUTONA, YNNAH, Arabela (sitakunyaka mdogo wangu), MwanajamiiOne, watu8..
Wape mazoezi ya kutosha, na darasa liwe shirikishi zaidi.
Usisubiri zibaki wiki 2, waweza toa dk chache za kwizi.kabla kipindi hakijaanza, hata maswali 2 kila kipindi, afu mnafanya masahihisho siku unayoona inafaa.
Ni kazi ya ziada lakini husaidia, kutoa mwishoni unakuwa kama unawakaririsha majibu ya mtihani.
Eti umetumia lugha ya picha?
Wanajifelisha sababu wanaona umestaafu, hebu renew contract ya ualimu.hata forb2;days.
Adabu itarudi na wataelewa somo.
.....mnh! Swahiba, kabla sijakujibu hili swali naomba unitajie mie (au mifano ya) hivyo vitu vya msingi.