Nawafundishaje walimu ili waje kufundisha?

Nawafundishaje walimu ili waje kufundisha?

Utakua huna kipaji cha kufundishaaa

Siwezi kubisha ila hili tatizo linajirudia rudia sana....

Na mbaya zaidi limeanza siku za hivi karibu. Kabla sijataafu wanafunzi walikuwa wanafanya vizuri tu!

Ni kwa vile nimechoka?
 
Kama ningekuwa wewe ninacho Fanya let say zimebaki wiki mbili ninacho Fanya ni kuwafundisha kwa njia ya maswali!
Nahakikisha nime wapa maswali tofauti tofauti yanayo husiana na topic husika kwa njia ya group assignment kila Siku at least maswali matano!

Nina uhakika wakija kuingia kwenye mtihani wa mwisho watakuwa wameiva!

Ila naona nao kama wanazidi kukata tamaa. Ila nitajaribu ingawa hii njia ya kuwanywesha watu kwa bomba kubwa wakati koromeo lao dogo siipendi kabisa!
 
Usisubiri zibaki wiki 2, waweza toa dk chache za kwizi.kabla kipindi hakijaanza, hata maswali 2 kila kipindi, afu mnafanya masahihisho siku unayoona inafaa.

Ni kazi ya ziada lakini husaidia, kutoa mwishoni unakuwa kama unawakaririsha majibu ya mtihani.

Ila naona nao kama wanazidi kukata tamaa. Ila nitajaribu ingawa hii njia ya kuwanywesha watu kwa bomba kubwa wakati koromeo lao dogo siipendi kabisa!
 
Siwezi kubisha ila hili tatizo linajirudia rudia sana....

Na mbaya zaidi limeanza siku za hivi karibu. Kabla sijataafu wanafunzi walikuwa wanafanya vizuri tu!

Ni kwa vile nimechoka?

Poleee babu
 
Wanajifelisha sababu wanaona umestaafu, hebu renew contract ya ualimu.hata forb2;days.

Adabu itarudi na wataelewa somo.

Siwezi kubisha ila hili tatizo linajirudia rudia sana....

Na mbaya zaidi limeanza siku za hivi karibu. Kabla sijataafu wanafunzi walikuwa wanafanya vizuri tu!

Ni kwa vile nimechoka?
 
Ndugu zangu wana MMU,

Naomba mnisaidie jambo ambalo limenikwaza kidogo. Ngoja nijaribu kueleza mambo yalivyonibana,

Tuchukulie kwamba wewe ni mwalimu ambaye unafundisha wanafunzi ambao ni walimu watarajiwa (mwalimu wa walimu). Bahati mbaya somo lako linawapa taabu sana na hawaonekani kuelewa vitu vya msingi. Muda unaenda na wanatakiwa kufanya mtihani wa kumaliza masomo. Wewe mwenyewe ndiye unautunga na kusahihisha. Kwa vile muda wa kufanya mtihani bado kidogo, utawasaidiaje vijana wako ili walaulu? Na si kufaulu tu, ila huko mbele ya safari waweze kufundisha wanafunzi wao vizuri?

Je, utawapitisha hivyo hivyo....liwalo na liwe? Au utabanana nao hadi kieleweke? Kwamba hata wakifeli wote, potelea mbali kuliko kupeleka makapi uraiani?

Wenu katika kizungumkuti,

Babu DC!!

cc: Asprin, Kaizer, Fixed Point, King'asti, Mtambuzi, snowhite, gfsonwin, Mbu, Paloma, CHUAKACHARA, Mwanyasi, KOKUTONA, YNNAH, Arabela (sitakunyaka mdogo wangu), MwanajamiiOne, watu8..

.....mnh! Swahiba, kabla sijakujibu hili swali naomba unitajie mie (au mifano ya) hivyo vitu vya msingi.
 
Kwa hiyo nichape supp za kutosha na wengine wakariri mwaka?

Ungekuwa wewe ndiye denti ungejisikiaje??

Nimechanganywa mkuu ujue?

Hahaa ndo maana yake mkuu wangu..mwanafunzi mwelewa hatakulaumu
 
Tafuta mwalimu mwengine anayefundisha somo hilo akusaidie, mueleze tatizo pengine material unayo lakini uwezo wa kuyadeliver kwa unowafundisha ili wakuelewe ndo shida. Omba msaada kwa walimu wengine

Babu kwani umehamia kwenye fani ya snowhite, mimi na gfsonwin?

Hebu kuja wozap.chaap
 
Last edited by a moderator:
Kuna tofauti ya umuhimu wa hicho unachowafundisha hapo awali na sasa? Je huko nyuma walikuwa wanafaulu kwa urahisi? Wakati mwingine wanafunzi hupuuzia vitu ambavyo wanahisi havina umuhimu sana au kwa mazingira yaliyopo wanaona watafaulu tu.
 
Tanzania hii waalimu wangapi wako competent? Ndio mana pale St Francis ukiomna kazi unaambiwa utengeneze marking scheme ya 1994. Waachie wote watajua mbele kwa mbele
 
waambie mtihani utatoka kwenye topic ipi na ipi wajiandae katika maeneo hayo nishawahi ku experience hii kitu nikiwa o-level kuna mwalimu tulikuwa hatumuelewi kabisaaa wa b/k na commerce ilibidi tubadilishiwe kwa kweli maana mtihani wa taifa ulikuwa umekaribia
hapo kuwasaidia waweza kuwaambia wafundishane wao kwa wao kwa groups
 
hii thread kwa nin umeileta jukwaa hili? Btw we fuata principles za kufundisha zinasemaje si ulijifunza ethics za teaching mkuu?
Umemaliza. Yaani sijui kwa nini babu anauliza swali kama hili??!!! Anataka kufanya ile kitu wanaita "professional dishonest" ili tu watoto wafaulu. Yaani hapo hakuna mtihani kabisa, inatakiwa afuate utaratibu tu basi, case closed.
 
badilisha namna ya ufundishaji tumia njia mbalimbali, kwa kuwasaidia zaidi wape guidelines nn wanatakiwa kucover ila kuwafaulisha hapana huko ni kutengeneza jamii ya wasomi wajinga...
 
Ndugu zangu wana MMU,

Naomba mnisaidie jambo ambalo limenikwaza kidogo. Ngoja nijaribu kueleza mambo yalivyonibana,

Tuchukulie kwamba wewe ni mwalimu ambaye unafundisha wanafunzi ambao ni walimu watarajiwa (mwalimu wa walimu). Bahati mbaya somo lako linawapa taabu sana na hawaonekani kuelewa vitu vya msingi. Muda unaenda na wanatakiwa kufanya mtihani wa kumaliza masomo. Wewe mwenyewe ndiye unautunga na kusahihisha. Kwa vile muda wa kufanya mtihani bado kidogo, utawasaidiaje vijana wako ili walaulu? Na si kufaulu tu, ila huko mbele ya safari waweze kufundisha wanafunzi wao vizuri?

Je, utawapitisha hivyo hivyo....liwalo na liwe? Au utabanana nao hadi kieleweke? Kwamba hata wakifeli wote, potelea mbali kuliko kupeleka makapi uraiani?

Wenu katika kizungumkuti,

Babu DC!!

cc: Asprin, Kaizer, Fixed Point, King'asti, Mtambuzi, snowhite, gfsonwin, Mbu, Paloma, CHUAKACHARA, Mwanyasi, KOKUTONA, YNNAH, Arabela (sitakunyaka mdogo wangu), MwanajamiiOne, watu8..

!
!
hali ikoje kwa ujumla? ni kwa somo lako tu au kwa masomo yote?....unafundisha somo gani na katika level ipi na wapi?....katika ualimu kuna masomo kama measurement and evaluation pamoja na psychology guidance and counceling huwa yanawapa tabu wanafunzi kwani yako kisayansi zaidi ambayo wengi walitokaga nduki walipokuwa skuli. Nijibu hayo nije nijaribu kukushauri.
 
Last edited by a moderator:
Wape mazoezi ya kutosha, na darasa liwe shirikishi zaidi.

Mbona mazoezi nimewapa hadi wanatamani kuyakimbia?

Usisubiri zibaki wiki 2, waweza toa dk chache za kwizi.kabla kipindi hakijaanza, hata maswali 2 kila kipindi, afu mnafanya masahihisho siku unayoona inafaa.

Ni kazi ya ziada lakini husaidia, kutoa mwishoni unakuwa kama unawakaririsha majibu ya mtihani.

Mbona zamani tulikuwa tunafundisha hivi hivi na watu wanapata distinction?

Eti umetumia lugha ya picha?

Kwani najua mpenzi?

Mwenyewe hata sijielewi elewi?

Wanajifelisha sababu wanaona umestaafu, hebu renew contract ya ualimu.hata forb2;days.

Adabu itarudi na wataelewa somo.

Nitumie amri moja ya geshi?

Ngoja kwanza niombe msaada wa mzee mwenzangu Mwita Maranya...!
 
Last edited by a moderator:
.....mnh! Swahiba, kabla sijakujibu hili swali naomba unitajie mie (au mifano ya) hivyo vitu vya msingi.

Khaaaaaaaaaaaaaaaaaa,

Nijibu nini swahiba wangu?

Just take any example, si kila kitu kina vitu ambavyo ndiyo vinakifanya kisimame? Mfano, nia na mtaji katika biashara!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Back
Top Bottom