GE2025 Nawahakikishieni Watanzania Wenzangu Rais Samia Hatawaangusha Wala kuwakatisha Tamaa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Jiandae kumpelekea chakula gerezani huko ICC. Hawezi kuua watu wengi hivyo wakati hawajampigia kura. Tuna ushahidi wa viongozi wote walioagiza watu wauwawe ili Samia atangazwe mshindi bila ridhaa ya umma. Samia mwenyewe, wakuu wa polisi, mikoq na wilaya. Ushahdi wa mauaji upo. Kuzika watu usiku kwenye makaburi ya pamoja ili kuficha ushahidi hakutawasaidia kitu. Itakuwa fundisho kwa viongozi wengine.
Wewe endelea kuropoka ropoka na kupiga makelele yako hapa kama kichaa au mwendawazimu
 
Ndugu zangu Watanzania,

Napenda kuwahakikishieni ya kuwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge hatawaangusha wala kuwakatisheni tamaa.

Nawakumbusheni Ya Kuwa Ni Huyu huyu Mama yetu Mpendwa aliyeliunganisha Taifa letu kwa 4R Zake pale alipokuwa anashika madaraka ya Urais Mwaka 2021. Kipindi na wakati ambapo Taifa letu na watanzania tulikuwa tumegawanyika kwa misingi na itikadi za kisiasa. Je mmesahau ya kuwa ilifika kipindi hata kuzikana tulikuwa tukizikana kwa misingi ya vyama vyetu vya siasa? Je mmesahau ya kuwa hata shughuli tu za kijamii tulihudhuria na kushirikiana kwa kuangalia huyu ni wa chama kipi?

Ni nani aliyetuunganisha na kutuleta pamoja kama Taifa kama siyo huyu huyu Mama yetu mpendwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan? Si ni huyu huyu Mama yetu Mpendwa alirejesha mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa iliyokuwa imepigwa marufuku na kuzuiwa? Si ni Mama yetu na Rais wetu huyu huyu aliyefuta kesi mbalimbali zenye sura za kisiasa?

Si ni huyu huyu Mama yetu Mpendwa aliyewarejesha Nchini akina Tundu lissu,Godbless Lema na wengine wengi? Si ni huyu huyu Mama yetu Mpendwa aliyekaa mezani na kufanya mazungumzo na watu mbalimbali wakiwepo wanasiasa , viongozi wa Dini,wazee na watu mbalimbali kujadili masuala mbalimbali kwa ajili ya kuliponya Taifa letu? Mnaweza mkaniuliza yalipokuwa yanafanyika hayo ya kuponyana nani na chama gani kilikuwa madarakani?

Jibu ni kuwa ndio Maana Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Nyerere aliandika kitabu chake cha "Kujisahihishe" ikiwa na maana kuwa kuna wakati wa kujisahihisha kama chama ,kuna wakati wa kurejea historia ya Chama na Taifa, kuna wakati wa kukaa mezani kuzungumza mambo ya Taifa ,kuombana msamaha ,kukunjua mioyo yetu na kupeana mikono ya amani na kusahau yaliyopita na kufungua ukurasa mpya kama Taifa na kuchukua yaliyopita kama somo kwa ajili ya kule tuendako na ambako tungependa kulipeleka Taifa letu.

Ni lazima mfahamu ya kuwa kuna wakati siyo wa kulaumiana kama Taifa bali kutafuta ufumbuzi na namna ya kutoka hatua moja nakwenda hatua mbili mbele kama Taifa pasipo kutafuta mshindi bali kulipa ushindi Taifa .

Je mmesahau ya kuwa ni Mama Samia huyu huyu ametuvusha katika nyakati ngumu za kiuchumi katikati ya janga la Corona na vita vya Ukraine ambavyo vilituathiri hata sisi. Kwa kuwa vilipelekea kupanda kwa bei ya nishati ya mafuta ambayo ni injini ya uchumi wetu na yenye Kugusa kila secta.

Unafikiri nini kinaweza kumshinda Rais Samia ? Ameweza mangapi na kutuvusha kama Taifa na tukaenda ng'ambo ya pili tukiwa salama na pamoja? Sikilieni watanzania wenzangu. Mama yetu na Rais wetu Mpendwa ni kiongozi msikivu ,mcha Mungu, mnyenyekevu,makini ,mtulivu ,makini ,mchapa kazi.

Hakuna jiwe litabakia pasipo kugeuzwa. Hakuna mtanzania ambaye hatasikilizwa. Hakuna mtanzania ambaye hatafikiwa na mkono wa Mama ,hakuna sauti ya Mtanzania ambayo itapuuzwa, hakuna kero ambayo haitatafutiwa ufumbuzi na kumalizwa.hakuna swali ambalo halitapatiwa jawabu.

Kila mmoja wetu atajivunia utanzania wake na kuzaliwa Tanzania. Kila mmoja wetu ataona akitimiza ndoto zake ilimradi tu akifanya kazi kwa bidii, juhudi,maarifa na kujituma vyema. Hakuna kilele na mlima ambao tutashindwa kuupanda kama Taifa . Hakuna changamoto itakayotushinda kama Taifa.

Uhodari na uimara wa Rais wetu siyo wa kutiliwa mashaka. Ni mama madhubutu,jasiri ,shupavu na makini. Ni mtulivu na mwenye upeo na maono. Ni katika utulivu ,uimara , umadhubuti,ushupavu ,uhodari tunakwenda kulifanya Taifa letu kubwa kanaani ya watanzania. Taifa litakalo kuwa la mfano na kuigwa na kupigiwa mfano Barani Afrika. Taifa la asali na Maziwa.

Inueni mioyo yenu na macho yenu mtizame mbele kwa matumaini pasipo shaka wala hofu. Kuweni na hakika ya kuwa Mama atakidhi matarajio yenu na yetu sote na hakuna atakaye juta na wala hatatuangusha.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3496827
Hivi kumbe walikusahau nikajua waandamanaji walipita na wewe
 
1762200172607.png
 
Chagua tusi nikutukane tusi gani? Mwenyekiti wetu ni muuaji kaua maelfu ya vijaa wasiokuwa na hatia. Bosi nikuhakikishie kama ilivyokuwa kwa Dkt Magufuli sisi mashabiki wake tulivyokuwa hatuelewi ila alikufa kifo kibaya sana. Na kwa Dkt Samia nakuhakikishia kwa jinsi alivyoua watu wengi yaani kifo kinamhusu sana! Yaani surely she will die na nembo ya picha yake will not be remembered kabisa. She is a killer na muuaji hata wewe mwana CCM mwenzangu unajua. Ni bahati mbaya sana Dkt Samia anajua kuwa she is walking dead kwa alichokifanya na ndiyo maana akaapishiwa kwa wanajeshi lakini je mazingira yote anayopita watu wamefiwa na ndugu zao atapona??? Na bado mfumo haumtaki kabisa so hatoboi huyo. Makosa kafanya mengi sana alikuwa na nafasi ya kutubu ila now atatubu akiwa kaburini na kizazi chake
Nenda huko ewe usiyejitambua wala kujielewa.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Napenda kuwahakikishieni ya kuwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge hatawaangusha wala kuwakatisheni tamaa.

Nawakumbusheni Ya Kuwa Ni Huyu huyu Mama yetu Mpendwa aliyeliunganisha Taifa letu kwa 4R Zake pale alipokuwa anashika madaraka ya Urais Mwaka 2021. Kipindi na wakati ambapo Taifa letu na watanzania tulikuwa tumegawanyika kwa misingi na itikadi za kisiasa. Je mmesahau ya kuwa ilifika kipindi hata kuzikana tulikuwa tukizikana kwa misingi ya vyama vyetu vya siasa? Je mmesahau ya kuwa hata shughuli tu za kijamii tulihudhuria na kushirikiana kwa kuangalia huyu ni wa chama kipi?

Ni nani aliyetuunganisha na kutuleta pamoja kama Taifa kama siyo huyu huyu Mama yetu mpendwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan? Si ni huyu huyu Mama yetu Mpendwa alirejesha mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa iliyokuwa imepigwa marufuku na kuzuiwa? Si ni Mama yetu na Rais wetu huyu huyu aliyefuta kesi mbalimbali zenye sura za kisiasa?

Si ni huyu huyu Mama yetu Mpendwa aliyewarejesha Nchini akina Tundu lissu,Godbless Lema na wengine wengi? Si ni huyu huyu Mama yetu Mpendwa aliyekaa mezani na kufanya mazungumzo na watu mbalimbali wakiwepo wanasiasa , viongozi wa Dini,wazee na watu mbalimbali kujadili masuala mbalimbali kwa ajili ya kuliponya Taifa letu? Mnaweza mkaniuliza yalipokuwa yanafanyika hayo ya kuponyana nani na chama gani kilikuwa madarakani na kimesababisha hayo majeraha?

Jibu ni kuwa ndio Maana Mwaka 1962 Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Nyerere aliandika kitabu chake cha "Tujisahihishe" ikiwa na maana kuwa kuna wakati wa kujisahihisha kama chama ,kuna wakati wa kurejea historia ya Chama na Taifa, kuna wakati wa kukaa mezani kuzungumza mambo ya Taifa ,kuombana msamaha ,kukunjua mioyo yetu na kupeana mikono ya amani na kusahau yaliyopita na kufungua ukurasa mpya kama Taifa na kuchukua yaliyopita kama somo kwa ajili ya kule tuendako na ambako tungependa kulipeleka Taifa letu.

Ni lazima mfahamu ya kuwa kuna wakati siyo wa kulaumiana kama Taifa bali kutafuta ufumbuzi na namna ya kutoka hatua moja nakwenda hatua mbili mbele kama Taifa pasipo kutafuta mshindi bali kulipa ushindi Taifa .
Je mmesahau ya kuwa ni Mama Samia huyu huyu ametuvusha katika nyakati ngumu za kiuchumi katikati ya janga la Corona na vita vya Ukraine ambavyo vilituathiri hata sisi. Kwa kuwa vilipelekea kupanda kwa bei ya nishati ya mafuta ambayo ni injini ya uchumi wetu na yenye Kugusa kila secta.

Unafikiri nini kinaweza kumshinda Rais Samia ? Ameweza mangapi na kutuvusha kama Taifa na tukaenda ng'ambo ya pili tukiwa salama na pamoja? Sikilizeni watanzania wenzangu. Mama yetu na Rais wetu Mpendwa ni kiongozi msikivu ,mcha Mungu, mnyenyekevu,makini ,mtulivu ,makini na mchapa kazi.

Hakuna jiwe litabakia pasipo kugeuzwa. Hakuna mtanzania ambaye hatasikilizwa. Hakuna mtanzania ambaye hatafikiwa na mkono wa Mama ,hakuna sauti ya Mtanzania ambayo itapuuzwa, hakuna kero ambayo haitatafutiwa ufumbuzi na kumalizwa.hakuna swali ambalo halitapatiwa jawabu.

Kila mmoja wetu atajivunia utanzania wake na kuzaliwa Tanzania. Kila mmoja wetu ataona akitimiza ndoto zake ilimradi tu akifanya kazi kwa bidii, juhudi,maarifa na kujituma vyema. Hakuna kilele na mlima ambao tutashindwa kuupanda kama Taifa . Hakuna changamoto itakayotushinda kama Taifa.

Uhodari na uimara wa Rais wetu siyo wa kutiliwa mashaka. Ni mama madhubutu,jasiri ,shupavu na makini. Ni mtulivu na mwenye upeo na maono. Ni katika utulivu ,uimara , umadhubuti,ushupavu ,uhodari tunakwenda kulifanya Taifa letu kuwa kanaani ya watanzania. Taifa litakalo kuwa la mfano na kuigwa na kupigiwa mfano Barani Afrika. Taifa la asali na Maziwa.

Inueni mioyo yenu na macho yenu mtizame mbele kwa matumaini pasipo shaka wala hofu. Kuweni na hakika ya kuwa Mama atakidhi matarajio yenu na yetu sote na hakuna atakaye juta na wala hatatuangusha.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3496827
Wewe usiendelee kututia hasira, Samia hakupigiwa kura. Anaiba bila aibu. Anaua watoto wadogo bila hata huruma. Atalipa yote hayo aliyoyafanya.
 
Hili ni la kulifunga kamba na kulipeleka hospitali mirembe, ni hatari sana kuendelea kuwanalo mitaani, lisije leta taharuki mitaani. RIP vijana wote waliouawa ktk nchi yao😭
Mbona wewe hujauwawa
 
Back
Top Bottom