Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
- Thread starter
- #41
Kwanini wewe hujauwawa.Yani huyu mtu ni bora angekufa tu. Ni maiti inayotembea kichwani ubongo ameutoa ameweka mavi ndo anayatumia kufikiri

Kwa hiyo risasi zilikuwa zinakukwepa WeweNatamani ata muumba aichukue roho yako saivi,, kila nikifikiria kuna mtu alikufa akiomba msaada wangu baada ya kumwagiwa risasi tatu za tumbo na mgongoni duuuh!!
Nikikuta mtu amekunya mahali na wewe umeanguka nitaokota mavi then wewe nikuacheNdugu zangu Watanzania,
Napenda kuwahakikishieni ya kuwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge hatawaangusha wala kuwakatisheni tamaa.
Nawakumbusheni Ya Kuwa Ni Huyu huyu Mama yetu Mpendwa aliyeliunganisha Taifa letu kwa 4R Zake pale alipokuwa anashika madaraka ya Urais Mwaka 2021. Kipindi na wakati ambapo Taifa letu na watanzania tulikuwa tumegawanyika kwa misingi na itikadi za kisiasa. Je mmesahau ya kuwa ilifika kipindi hata kuzikana tulikuwa tukizikana kwa misingi ya vyama vyetu vya siasa? Je mmesahau ya kuwa hata shughuli tu za kijamii tulihudhuria na kushirikiana kwa kuangalia huyu ni wa chama kipi?
Ni nani aliyetuunganisha na kutuleta pamoja kama Taifa kama siyo huyu huyu Mama yetu mpendwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan? Si ni huyu huyu Mama yetu Mpendwa alirejesha mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa iliyokuwa imepigwa marufuku na kuzuiwa? Si ni Mama yetu na Rais wetu huyu huyu aliyefuta kesi mbalimbali zenye sura za kisiasa?
Si ni huyu huyu Mama yetu Mpendwa aliyewarejesha Nchini akina Tundu lissu,Godbless Lema na wengine wengi? Si ni huyu huyu Mama yetu Mpendwa aliyekaa mezani na kufanya mazungumzo na watu mbalimbali wakiwepo wanasiasa , viongozi wa Dini,wazee na watu mbalimbali kujadili masuala mbalimbali kwa ajili ya kuliponya Taifa letu? Mnaweza mkaniuliza yalipokuwa yanafanyika hayo ya kuponyana nani na chama gani kilikuwa madarakani na kimesababisha hayo majeraha?
Jibu ni kuwa ndio Maana Mwaka 1962 Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Nyerere aliandika kitabu chake cha "Tujisahihishe" ikiwa na maana kuwa kuna wakati wa kujisahihisha kama chama ,kuna wakati wa kurejea historia ya Chama na Taifa, kuna wakati wa kukaa mezani kuzungumza mambo ya Taifa ,kuombana msamaha ,kukunjua mioyo yetu na kupeana mikono ya amani na kusahau yaliyopita na kufungua ukurasa mpya kama Taifa na kuchukua yaliyopita kama somo kwa ajili ya kule tuendako na ambako tungependa kulipeleka Taifa letu.
Ni lazima mfahamu ya kuwa kuna wakati siyo wa kulaumiana kama Taifa bali kutafuta ufumbuzi na namna ya kutoka hatua moja nakwenda hatua mbili mbele kama Taifa pasipo kutafuta mshindi bali kulipa ushindi Taifa .
Je mmesahau ya kuwa ni Mama Samia huyu huyu ametuvusha katika nyakati ngumu za kiuchumi katikati ya janga la Corona na vita vya Ukraine ambavyo vilituathiri hata sisi. Kwa kuwa vilipelekea kupanda kwa bei ya nishati ya mafuta ambayo ni injini ya uchumi wetu na yenye Kugusa kila secta.
Unafikiri nini kinaweza kumshinda Rais Samia ? Ameweza mangapi na kutuvusha kama Taifa na tukaenda ng'ambo ya pili tukiwa salama na pamoja? Sikilizeni watanzania wenzangu. Mama yetu na Rais wetu Mpendwa ni kiongozi msikivu ,mcha Mungu, mnyenyekevu,makini ,mtulivu ,makini na mchapa kazi.
Hakuna jiwe litabakia pasipo kugeuzwa. Hakuna mtanzania ambaye hatasikilizwa. Hakuna mtanzania ambaye hatafikiwa na mkono wa Mama ,hakuna sauti ya Mtanzania ambayo itapuuzwa, hakuna kero ambayo haitatafutiwa ufumbuzi na kumalizwa.hakuna swali ambalo halitapatiwa jawabu.
Kila mmoja wetu atajivunia utanzania wake na kuzaliwa Tanzania. Kila mmoja wetu ataona akitimiza ndoto zake ilimradi tu akifanya kazi kwa bidii, juhudi,maarifa na kujituma vyema. Hakuna kilele na mlima ambao tutashindwa kuupanda kama Taifa . Hakuna changamoto itakayotushinda kama Taifa.
Uhodari na uimara wa Rais wetu siyo wa kutiliwa mashaka. Ni mama madhubutu,jasiri ,shupavu na makini. Ni mtulivu na mwenye upeo na maono. Ni katika utulivu ,uimara , umadhubuti,ushupavu ,uhodari tunakwenda kulifanya Taifa letu kuwa kanaani ya watanzania. Taifa litakalo kuwa la mfano na kuigwa na kupigiwa mfano Barani Afrika. Taifa la asali na Maziwa.
Inueni mioyo yenu na macho yenu mtizame mbele kwa matumaini pasipo shaka wala hofu. Kuweni na hakika ya kuwa Mama atakidhi matarajio yenu na yetu sote na hakuna atakaye juta na wala hatatuangusha.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3496827
Nimpigie kura Samia, Anashindana peke yake na kivuli chake, sioni wa kumpigia, hakuna chama kingine kinachoshindana. Hiyo projects za CCM mbona kila mtu anajua? Angekua ana ubavu, angeachia CHADEMA asingepata hata 10%. Eti ameshinda kwa asilimia 98, are you kidding me? Nani anampenda Samia zaidi yako, Mwijaku na Paskali Mayala? Hatumpendi muuaji wa watoto wetu. itafika siku utakosa mahali pa kujificha, siku si nyingi, wananchi wa Tanganyika tumeamua, We want our Tanzania back.Kama hukupiga kura ni wewe na ujinga wako
Wale waliouawa hawajaweza kuandika kwa sababu wameuawa. Hiyo unaloropoka by using your rectum is not a case. Waliouawa tunawawakilisha, tukiuawa sisi, wengine watatuwakilisha, shame on you. Tutakupata tu wewe.Mbona wewe hujauwawa
Yupo sana na ataendelea kuwepo na kuwatumikia watanzania kwa uzalendo mkubwa sanaMuuaji Samia ataondoka madarakani kwa njia ya fedheha kubwa sana na atakufa kifo cha mateso makali sana
Sinywi sumu ili nife ila tutakutafuta wewe hadi tukupate halafu ukibahatika utasimulia.Kama una hasira sana basi kunywa sumu UFE tu
Unanitafuta wapi? Kwani umeambiwa nimejificha?Sinywi sumu ili nife ila tutakutafuta wewe hadi tukupate halafu ukibahatika utasimulia.
I wish ingekuwepo ili kuna watu wakipost wasome wenyewe tuu 😁😁😁😁Hivi JF haina option ya ku block?
Waliofanya wamefanywa nn? Hii ni alutaJaribu uone
Huyu location yake ijulikane ili phase ijayo tuende kumsalimia kwa sababu hawezi kumtetea muuaji Samia.Ndugu zangu Watanzania,
Napenda kuwahakikishieni ya kuwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge hatawaangusha wala kuwakatisheni tamaa.
Nawakumbusheni Ya Kuwa Ni Huyu huyu Mama yetu Mpendwa aliyeliunganisha Taifa letu kwa 4R Zake pale alipokuwa anashika madaraka ya Urais Mwaka 2021. Kipindi na wakati ambapo Taifa letu na watanzania tulikuwa tumegawanyika kwa misingi na itikadi za kisiasa. Je mmesahau ya kuwa ilifika kipindi hata kuzikana tulikuwa tukizikana kwa misingi ya vyama vyetu vya siasa? Je mmesahau ya kuwa hata shughuli tu za kijamii tulihudhuria na kushirikiana kwa kuangalia huyu ni wa chama kipi?
Ni nani aliyetuunganisha na kutuleta pamoja kama Taifa kama siyo huyu huyu Mama yetu mpendwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan? Si ni huyu huyu Mama yetu Mpendwa alirejesha mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa iliyokuwa imepigwa marufuku na kuzuiwa? Si ni Mama yetu na Rais wetu huyu huyu aliyefuta kesi mbalimbali zenye sura za kisiasa?
Si ni huyu huyu Mama yetu Mpendwa aliyewarejesha Nchini akina Tundu lissu,Godbless Lema na wengine wengi? Si ni huyu huyu Mama yetu Mpendwa aliyekaa mezani na kufanya mazungumzo na watu mbalimbali wakiwepo wanasiasa , viongozi wa Dini,wazee na watu mbalimbali kujadili masuala mbalimbali kwa ajili ya kuliponya Taifa letu? Mnaweza mkaniuliza yalipokuwa yanafanyika hayo ya kuponyana nani na chama gani kilikuwa madarakani na kimesababisha hayo majeraha?
Jibu ni kuwa ndio Maana Mwaka 1962 Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Nyerere aliandika kitabu chake cha "Tujisahihishe" ikiwa na maana kuwa kuna wakati wa kujisahihisha kama chama ,kuna wakati wa kurejea historia ya Chama na Taifa, kuna wakati wa kukaa mezani kuzungumza mambo ya Taifa ,kuombana msamaha ,kukunjua mioyo yetu na kupeana mikono ya amani na kusahau yaliyopita na kufungua ukurasa mpya kama Taifa na kuchukua yaliyopita kama somo kwa ajili ya kule tuendako na ambako tungependa kulipeleka Taifa letu.
Ni lazima mfahamu ya kuwa kuna wakati siyo wa kulaumiana kama Taifa bali kutafuta ufumbuzi na namna ya kutoka hatua moja nakwenda hatua mbili mbele kama Taifa pasipo kutafuta mshindi bali kulipa ushindi Taifa .
Je mmesahau ya kuwa ni Mama Samia huyu huyu ametuvusha katika nyakati ngumu za kiuchumi katikati ya janga la Corona na vita vya Ukraine ambavyo vilituathiri hata sisi. Kwa kuwa vilipelekea kupanda kwa bei ya nishati ya mafuta ambayo ni injini ya uchumi wetu na yenye Kugusa kila secta.
Unafikiri nini kinaweza kumshinda Rais Samia ? Ameweza mangapi na kutuvusha kama Taifa na tukaenda ng'ambo ya pili tukiwa salama na pamoja? Sikilizeni watanzania wenzangu. Mama yetu na Rais wetu Mpendwa ni kiongozi msikivu ,mcha Mungu, mnyenyekevu,makini ,mtulivu ,makini na mchapa kazi.
Hakuna jiwe litabakia pasipo kugeuzwa. Hakuna mtanzania ambaye hatasikilizwa. Hakuna mtanzania ambaye hatafikiwa na mkono wa Mama ,hakuna sauti ya Mtanzania ambayo itapuuzwa, hakuna kero ambayo haitatafutiwa ufumbuzi na kumalizwa.hakuna swali ambalo halitapatiwa jawabu.
Kila mmoja wetu atajivunia utanzania wake na kuzaliwa Tanzania. Kila mmoja wetu ataona akitimiza ndoto zake ilimradi tu akifanya kazi kwa bidii, juhudi,maarifa na kujituma vyema. Hakuna kilele na mlima ambao tutashindwa kuupanda kama Taifa . Hakuna changamoto itakayotushinda kama Taifa.
Uhodari na uimara wa Rais wetu siyo wa kutiliwa mashaka. Ni mama madhubutu,jasiri ,shupavu na makini. Ni mtulivu na mwenye upeo na maono. Ni katika utulivu ,uimara , umadhubuti,ushupavu ,uhodari tunakwenda kulifanya Taifa letu kuwa kanaani ya watanzania. Taifa litakalo kuwa la mfano na kuigwa na kupigiwa mfano Barani Afrika. Taifa la asali na Maziwa.
Inueni mioyo yenu na macho yenu mtizame mbele kwa matumaini pasipo shaka wala hofu. Kuweni na hakika ya kuwa Mama atakidhi matarajio yenu na yetu sote na hakuna atakaye juta na wala hatatuangusha.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3496827
Nikajua Gen Z washakubeba!! Kumbe upo kuendeleza ukupe "Ndugu zangu Watanzania,