GE2025 Nawahakikishieni Watanzania Wenzangu Rais Samia Hatawaangusha Wala kuwakatisha Tamaa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wewe endelea kuropoka ropoka na kupiga makelele yako hapa kama kichaa au mwendawazimu
 
Hivi kumbe walikusahau nikajua waandamanaji walipita na wewe
 
 
Nenda huko ewe usiyejitambua wala kujielewa.
 
Wewe usiendelee kututia hasira, Samia hakupigiwa kura. Anaiba bila aibu. Anaua watoto wadogo bila hata huruma. Atalipa yote hayo aliyoyafanya.
 
Hili ni la kulifunga kamba na kulipeleka hospitali mirembe, ni hatari sana kuendelea kuwanalo mitaani, lisije leta taharuki mitaani. RIP vijana wote waliouawa ktk nchi yao😭
Mbona wewe hujauwawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…