GE2025 Nawahakikishieni Watanzania Wenzangu Rais Samia Hatawaangusha Wala kuwakatisha Tamaa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nikikuta mtu amekunya mahali na wewe umeanguka nitaokota mavi then wewe nikuache
 
Kama hukupiga kura ni wewe na ujinga wako
Nimpigie kura Samia, Anashindana peke yake na kivuli chake, sioni wa kumpigia, hakuna chama kingine kinachoshindana. Hiyo projects za CCM mbona kila mtu anajua? Angekua ana ubavu, angeachia CHADEMA asingepata hata 10%. Eti ameshinda kwa asilimia 98, are you kidding me? Nani anampenda Samia zaidi yako, Mwijaku na Paskali Mayala? Hatumpendi muuaji wa watoto wetu. itafika siku utakosa mahali pa kujificha, siku si nyingi, wananchi wa Tanganyika tumeamua, We want our Tanzania back.
 
Kama umechoshwa na mada za huyu fanya hivi
 
Sifa ya Chawa ni kuishi na kuzaliana katika mazingira machafu na yenye giza.....
 
Mkuu, Mungu ndiye mwenye jicho, sisi hatuoni! 😢

Mshukuru Mungu kwa sababu una muda wa kushangilia.
 
Wewe jamaa unakera ,hivi Mods hamuoni hili?
 
Huyu location yake ijulikane ili phase ijayo tuende kumsalimia kwa sababu hawezi kumtetea muuaji Samia.
 
Nikajua Gen Z washakubeba!! Kumbe upo kuendeleza ukupe "
 
Muda ni mwalimu mzuri sana na utaongea tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…