GE2025 Nawahakikishieni Watanzania Wenzangu Rais Samia Hatawaangusha Wala kuwakatisha Tamaa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nimetafuta neno la kumwambia huyu mpumbavu mpaka nimelikosa! Hebu tuondoleeni huyu mpumbavu!
 
Hatuna Mwana CCM aina hiyo asiye jitambua.
Pitia msg zake, Wewe umeanza baada ya Samia mwenzio yupo tangu Magufuli narudia wewe huna mapenzi na huyo Samia. Vaa viatu vyake kipindi hiki, ndoto zake watoto woote waliokufa wanamlilia mpaka anaondoka dunia hii. tena ni muislam uislaam unasemaje kwenya kutowa roho ya mtu mmoja je hao 3000???
 
Mbona wewe na watoto wako hamjafa.
 
Huyu bibi ni katili kupita kiasi
 
kawarudisha kuwafungia 😀😀
 
Huyu mtu mjinga hastahili hata kujibiwa katika post zake hana thamani hiyo. Anastahili kuwekewa ile option ya "ignore".
Shangilia sana, sherekea sana lakini usisahau huu ndio mwanzo wa kishindo kikuu cha mwisho.
Mungu ibariki Africa
Mungu ibariki Tanganyika
 
Embu ondoa ujinga wako hapa wewe
 
Mwashambwa baada ya kueleza watu kufa wewe unaleta uchawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…