Binti Sayuni03
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 1,075
- 1,913
Utafute kwa7bu kainua mkono wake kupeleka juu!?.View attachment 3266333
Hii picha sio ya kuigiza. Ni picha halisi ilipigwa na camera ya simu ambayo haikuwa na spidi sana ndio maana unaona kuna sehemu za picha ziko out of focus, kuonyesha zilikuwa zina movement ya kasi zaidi spidi ya camera ya simu.
Na picha inajieleza. Hasira za mwalimu, maumivu ya mwanafunzi na shock usoni mwa wanafunzi wanaotazama tukio hili.
Sasa niambieni. Nipate picha au video clip kama hii na huyo hapo anaesulubiwa awe ni mwanangu, mnafikiri nitamfanya nini huyo mwalimu, kumpeleka kwa polisi wetu hawa ambao wengi ni wala rushwa? Ni kosa gani ambalo huyu mwanafunzi anaweza kuwa amefanya kiasi mwalimu amwadhibu kwa ghadhabu na ukatili namna hii - amembaka mama yake?
Walimu wenye tabia hii chukueni tahadhali. Mtaja kutana na watu ambao akili zao zitakuwa kama zenu, na hamtashinda.
Asante mkuuHaya, hongera umeshinda mkuu
nimepita private nikafika govt mwendo ni huohuo kutoa kifinyo na viboko kwa wanafunzi watukutu. Mi sio mwalimu mnyonge mnyonge na sitakuwa mnyonge daima najitambua na kutekeleza wajibu wangu. Msituletee harakati za haki za watoto zipotoshazo maadili asilia, watoto watukukutu watanyukwa tuHapo shuleni ni private na ww ndio mmiliki wa shule kwanza tujue hlo kama pa serikali better uondoke ww kwanza ulipata low marks ndo ukajiunga hapo huna ulijualo
Jamaa anajikuta sana asee!nilikuwa nasoma comment kimya kimya ila imebidi nikujibu wewe mjinga mmoja usiyekuwa na adabu kwani ndugu wewe umesomea Amerika au unapata wapi nguvu ya kumtukana mwalimu aliyekufundisha kuandika hapa mtandaoni utopolo wako unasema hakuna haja ya kwenda shule aise wewe ungekuwa karibu viboko muhimu ,Sasa Fanya kweli basi watoto wako usiwapeleke kwa watu wasiokuwa na mwelekeo nunua laptop zako wawekee wajifunze hapo nyumbani tuone huo mwelekeo wako wa chooni
Kwani hii picha imepatikanaje, mzazi wa mtoto aliipiga?Utajuaje kwani umemfungia mtoto wako camera mgongoni? We kama unataka kuzichapa nenda shule ukamuite mwalimu wake mmoja mzichape umalize hasira
Na mkeo akiwa mtukutu je, viboko?nimepita private nikafika govt mwendo ni huohuo kutoa kifinyo na viboko kwa wanafunzi watukutu. Mi sio mwalimu mnyonge mnyonge na sitakuwa mnyonge daima najitambua na kutekeleza wajibu wangu. Msituletee harakati za haki za watoto zipotoshazo maadili asilia, watoto watukukutu watanyukwa tu
Nimejaribu kukufikiria zaidi ya mara mbili nakosa majibu juu ya ufahamu wako. Hasa kwenye uelewa wa coarse za kusoma na namna vyuo utaratibu wa vyuo kudahili.Uliwahi kuona wapi mtu aliyekuwa kipanga wa darasa akawa mwalimu?
Walimu ni watu waliokosa alama za kutosha kwenda kusoma kozi za maana na zenye uzito ndiyo wakaangukia ualimu.
Mkuu hujawahi kusikia mtaani watu wakisema mtoto fulani amefeli hivyo hawezi kusoma kozi zingine labda aende ualimu?
Ualimu ndiyo kazi ambayo hata mtu awe kilaz,a anasoma maana ni kozi ya watu wasio na mwelekeo wa kimaisha hata watoto wanajua hivyo.
Yaani unakuta mwalimu kawapa mtihani watoto lakini hata majibu ya mtihani wenyewe mwalimu na mwanafunzi wote hawajui hadi mtoto akikuletea karatasi zake za mtihani ndiyo unagundua mwalimu kamkosesha mtoto ama kampa tiki sehemu ambayo sio jibu sahihi.
Hilo ndilo swali la kwanza msomaji alitakiwa kujiuliza, hata kabla hajadumbukia kwenye maudhui yake.Kwani hii picha imepatikanaje, mzazi wa mtoto aliipiga?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wewe unamsongo wa mawazo kuhusu nini,au Siri yako?
wanaJF, great thinker huyu amekuja na hoja ya kigreat thinking jamani. Kuonyesha jinsi hoja yake ilivyofikiriwa barabara, amewatukana wenzie (walimu). Siajabu ni profesa huyu wanaJF wenzangu.Kwani kufundisha nayo kazi? Yaani dunia ya leo hakuna hata haja ya mtoto kuhudhuria shule kila siku badala yake anajisomea mtandaoni tu as far as syllabus husika anayo.
Kujisomea mwenyewe unapata majibu sahihi kuliko nyie vilaz,a huko shuleni mnawalisha matango pori watoto.
Watoto wanaenda shuleni kila siku kwasababu mzazi apate muda wa kutosha kufanya shughuli zake nyingine tu lakini kama anakuwa na nafasi anamfundisha tu nyumbani wala hakuna haja ya kwenda kila siku.
🤣🤣🤣🤣Mimi ningelikua mwalimu,mzazii akijaa anafokaa namzibua nayeye palepalee. Kikubwa nisimuue tu maana nimeumbwa kufundisha jamii.
Akafundishe toto lake safi saaana.Mimi kama mwalimu ukiniletea ushenzi wako tunamalizana kama unavyotaka. Huwa nawataka sana wazazi wapuuzi kama wewe waje shuleni tumalizane. Kama vipi chukua toto lako kalifundishe mwenye nyumbani kwako, sipendagi ujinga
Mtoto wako unasomesha wapi mkuu?!! Vile video kea vya mtaani vya chumba kimoja nn?!!! Pole, tafuta Hela na hasira na chuki kwa mambo usoyoyajua vyote vitakwisha. Ubarikiwe sana.Uliwahi kuona wapi mtu aliyekuwa kipanga wa darasa akawa mwalimu?
Walimu ni watu waliokosa alama za kutosha kwenda kusoma kozi za maana na zenye uzito ndiyo wakaangukia ualimu.
Mkuu hujawahi kusikia mtaani watu wakisema mtoto fulani amefeli hivyo hawezi kusoma kozi zingine labda aende ualimu?
Ualimu ndiyo kazi ambayo hata mtu awe kilaz,a anasoma maana ni kozi ya watu wasio na mwelekeo wa kimaisha hata watoto wanajua hivyo.
Yaani unakuta mwalimu kawapa mtihani watoto lakini hata majibu ya mtihani wenyewe mwalimu na mwanafunzi wote hawajui hadi mtoto akikuletea karatasi zake za mtihani ndiyo unagundua mwalimu kamkosesha mtoto ama kampa tiki sehemu ambayo sio jibu sahihi.