Nawaheshimu sana walimu, lakini mwalimu yeyote akimfanyia mtoto wangu kama inavyoonyesha picha hii nitamtafuta kokote alipo tumalizane

Nawaheshimu sana walimu, lakini mwalimu yeyote akimfanyia mtoto wangu kama inavyoonyesha picha hii nitamtafuta kokote alipo tumalizane

Sema hawa walimu wa siku hizi, hasira zao za kulipwa mshahara kidogo, za nyumbani zote wanakuja kuwamalizia wanafunzi shuleni. Hii tabia inabidi ikomeshwe kabisa matukio ya kikatili yamekuwa mengi mno.
 
View attachment 3266333

Hii picha sio ya kuigiza. Ni picha halisi ilipigwa na camera ya simu ambayo haikuwa na spidi sana ndio maana unaona kuna sehemu za picha ziko out of focus, kuonyesha zilikuwa zina movement ya kasi zaidi spidi ya camera ya simu.

Na picha inajieleza. Hasira za mwalimu, maumivu ya mwanafunzi na shock usoni mwa wanafunzi wanaotazama tukio hili.

Sasa niambieni. Nipate picha au video clip kama hii na huyo hapo anaesulubiwa awe ni mwanangu, mnafikiri nitamfanya nini huyo mwalimu, kumpeleka kwa polisi wetu hawa ambao wengi ni wala rushwa? Ni kosa gani ambalo huyu mwanafunzi anaweza kuwa amefanya kiasi mwalimu amwadhibu kwa ghadhabu na ukatili namna hii - amembaka mama yake?

Walimu wenye tabia hii chukueni tahadhali. Mtaja kutana na watu ambao akili zao zitakuwa kama zenu, na hamtashinda.
Utafute kwa7bu kainua mkono wake kupeleka juu!?.
 
Utajuaje kwani umemfungia mtoto wako camera mgongoni? We kama unataka kuzichapa nenda shule ukamuite mwalimu wake mmoja mzichape umalize hasira
 
Hapo shuleni ni private na ww ndio mmiliki wa shule kwanza tujue hlo kama pa serikali better uondoke ww kwanza ulipata low marks ndo ukajiunga hapo huna ulijualo
nimepita private nikafika govt mwendo ni huohuo kutoa kifinyo na viboko kwa wanafunzi watukutu. Mi sio mwalimu mnyonge mnyonge na sitakuwa mnyonge daima najitambua na kutekeleza wajibu wangu. Msituletee harakati za haki za watoto zipotoshazo maadili asilia, watoto watukukutu watanyukwa tu
 
We uliopata marks mia kwa mia endelea kuwa mwalimu laini laini kama mlenda utishwe na harakati za haki za watoto utavuna mabua
 
nilikuwa nasoma comment kimya kimya ila imebidi nikujibu wewe mjinga mmoja usiyekuwa na adabu kwani ndugu wewe umesomea Amerika au unapata wapi nguvu ya kumtukana mwalimu aliyekufundisha kuandika hapa mtandaoni utopolo wako unasema hakuna haja ya kwenda shule aise wewe ungekuwa karibu viboko muhimu ,Sasa Fanya kweli basi watoto wako usiwapeleke kwa watu wasiokuwa na mwelekeo nunua laptop zako wawekee wajifunze hapo nyumbani tuone huo mwelekeo wako wa chooni
Jamaa anajikuta sana asee!
Inaonekana ni mhamasishaji 'motivational speaker', huku akijawa na chuki na husuda zisizokuwa na msingi wowote kwa walimu. Anafurahia sana kutumia taaluma yake kuumiza familia za walimu.
Hata huko Ulaya ana Amerika ambako teknohama ilianzia, watoto bado wanahudhuria madarasani katika shule.
Huenda muda mwingine anaandika kuchangamsha genge.
 
Utajuaje kwani umemfungia mtoto wako camera mgongoni? We kama unataka kuzichapa nenda shule ukamuite mwalimu wake mmoja mzichape umalize hasira
Kwani hii picha imepatikanaje, mzazi wa mtoto aliipiga?
 
nimepita private nikafika govt mwendo ni huohuo kutoa kifinyo na viboko kwa wanafunzi watukutu. Mi sio mwalimu mnyonge mnyonge na sitakuwa mnyonge daima najitambua na kutekeleza wajibu wangu. Msituletee harakati za haki za watoto zipotoshazo maadili asilia, watoto watukukutu watanyukwa tu
Na mkeo akiwa mtukutu je, viboko?
 
Uliwahi kuona wapi mtu aliyekuwa kipanga wa darasa akawa mwalimu?

Walimu ni watu waliokosa alama za kutosha kwenda kusoma kozi za maana na zenye uzito ndiyo wakaangukia ualimu.

Mkuu hujawahi kusikia mtaani watu wakisema mtoto fulani amefeli hivyo hawezi kusoma kozi zingine labda aende ualimu?

Ualimu ndiyo kazi ambayo hata mtu awe kilaz,a anasoma maana ni kozi ya watu wasio na mwelekeo wa kimaisha hata watoto wanajua hivyo.

Yaani unakuta mwalimu kawapa mtihani watoto lakini hata majibu ya mtihani wenyewe mwalimu na mwanafunzi wote hawajui hadi mtoto akikuletea karatasi zake za mtihani ndiyo unagundua mwalimu kamkosesha mtoto ama kampa tiki sehemu ambayo sio jibu sahihi.
Nimejaribu kukufikiria zaidi ya mara mbili nakosa majibu juu ya ufahamu wako. Hasa kwenye uelewa wa coarse za kusoma na namna vyuo utaratibu wa vyuo kudahili.

Swali dogo kwako Ili mtu akasome degree let say UDSM inatakiwa awe amefail ndio akasome au afaulu.

Je kuna walimu wanasoma hapo level hyo fresh kutoka form 6 hawapo ?kama jibu wapo usikariri maisha ya miaka hiyo na mfumo wa elimu wa sasa.

Kuna watu Wana division 1 Tena za science na wekuwa walimu kutokana na sabab zao binafsi wengine kukimbia changamoto za ajira mtaan hasa kipind ambacho ajira za walimu zilikuwa hazina shida, na wengne wamesoma Kwa sabb zao binafsi kwahyo nakushauri ondoa dhana ya kusema mwalimu ni mtu mwenye uelewa mdgo , Hali yakuwa anamfundisha mwanao ambaye alikuja nanga hajui lolote Kisha anafaul na kuwa Dr unaona ujanja.

Utajificha kwenye kichaka Cha mwanangu kasoma private ndio maana kafaul huko private anayefundisha ni nani? Dr? Au mwalim

Au mwanangu kasoma tuition huko tuition anamfundisha nani mwanasheria au mwalimu ?

Usipende kuconclude vitu bila utafit Hali yakuwa ww mwenyw umefundshwa na mwalimu ndio maana upo kwenye nafas uliopo.
 
#
Kwani hii picha imepatikanaje, mzazi wa mtoto aliipiga?
Hilo ndilo swali la kwanza msomaji alitakiwa kujiuliza, hata kabla hajadumbukia kwenye maudhui yake.

Ni nani aliyepiga hiyo picha?
Mwanafunzi, mwalimu? Mzazi?

======
Mnawasakama sana walimu. Kuna mtu humu anayeweza kusema hajawahi kufundishwa shuleni na mwalimu/walimu?

Sidhani wamo.

Hebu rudia tena kuangalia hiyo picha vizuri tu na ujiulize maswali, kisha soma michango mizuri ya membaz.
Kuna uhusiano wowote ule wa picha na maudhui kwenye posti zao?
 
Kunawimbi la wazazi wapumbavu sana linaibuka kwenye jamii zetu,badae mtoto analelewa kama yai mwisho kanakua kashogaa wanakagonga,mzazii anarudi kutia huruma kwa jamiii.
 
Mimi ningelikua mwalimu,mzazii akijaa anafokaa namzibua nayeye palepalee. Kikubwa nisimuue tu maana nimeumbwa kufundisha jamii.
 
Kwani kufundisha nayo kazi? Yaani dunia ya leo hakuna hata haja ya mtoto kuhudhuria shule kila siku badala yake anajisomea mtandaoni tu as far as syllabus husika anayo.

Kujisomea mwenyewe unapata majibu sahihi kuliko nyie vilaz,a huko shuleni mnawalisha matango pori watoto.

Watoto wanaenda shuleni kila siku kwasababu mzazi apate muda wa kutosha kufanya shughuli zake nyingine tu lakini kama anakuwa na nafasi anamfundisha tu nyumbani wala hakuna haja ya kwenda kila siku.
wanaJF, great thinker huyu amekuja na hoja ya kigreat thinking jamani. Kuonyesha jinsi hoja yake ilivyofikiriwa barabara, amewatukana wenzie (walimu). Siajabu ni profesa huyu wanaJF wenzangu.
 
Mimi kama mwalimu ukiniletea ushenzi wako tunamalizana kama unavyotaka. Huwa nawataka sana wazazi wapuuzi kama wewe waje shuleni tumalizane. Kama vipi chukua toto lako kalifundishe mwenye nyumbani kwako, sipendagi ujinga
Akafundishe toto lake safi saaana.
 
Uliwahi kuona wapi mtu aliyekuwa kipanga wa darasa akawa mwalimu?

Walimu ni watu waliokosa alama za kutosha kwenda kusoma kozi za maana na zenye uzito ndiyo wakaangukia ualimu.

Mkuu hujawahi kusikia mtaani watu wakisema mtoto fulani amefeli hivyo hawezi kusoma kozi zingine labda aende ualimu?

Ualimu ndiyo kazi ambayo hata mtu awe kilaz,a anasoma maana ni kozi ya watu wasio na mwelekeo wa kimaisha hata watoto wanajua hivyo.

Yaani unakuta mwalimu kawapa mtihani watoto lakini hata majibu ya mtihani wenyewe mwalimu na mwanafunzi wote hawajui hadi mtoto akikuletea karatasi zake za mtihani ndiyo unagundua mwalimu kamkosesha mtoto ama kampa tiki sehemu ambayo sio jibu sahihi.
Mtoto wako unasomesha wapi mkuu?!! Vile video kea vya mtaani vya chumba kimoja nn?!!! Pole, tafuta Hela na hasira na chuki kwa mambo usoyoyajua vyote vitakwisha. Ubarikiwe sana.
 
Back
Top Bottom