View attachment 3266333
Hii picha sio ya kuigiza. Ni picha halisi ilipigwa na camera ya simu ambayo haikuwa na spidi sana ndio maana unaona kuna sehemu za picha ziko out of focus, kuonyesha zilikuwa zina movement ya kasi zaidi spidi ya camera ya simu.
Na picha inajieleza. Hasira za mwalimu, maumivu ya mwanafunzi na shock usoni mwa wanafunzi wanaotazama tukio hili.
Sasa niambieni. Nipate picha au video clip kama hii na huyo hapo anaesulubiwa awe ni mwanangu, mnafikiri nitamfanya nini huyo mwalimu, kumpeleka kwa polisi wetu hawa ambao wengi ni wala rushwa? Ni kosa gani ambalo huyu mwanafunzi anaweza kuwa amefanya kiasi mwalimu amwadhibu kwa ghadhabu na ukatili namna hii - amembaka mama yake?
Walimu wenye tabia hii chukueni tahadhali. Mtaja kutana na watu ambao akili zao zitakuwa kama zenu, na hamtashinda.
Wewe ni famba yaan mwalimu afutwe kazi akimuonya mtoto mpumbavu ..? Mtoto asie na maadili wala asiefundishika. Kuna watoto hata wakipigwa na kupewa ng'eu ni kidgo ukilinganisha na matendo yao..Hata vitu vidogo kama miongozo mbalimbali ya elimu unataka mwanasheria aje akusomee ndiyo uelewe?
Hata Mkuu wa shule/Mwalimu mkuu hana mamlaka ya kumuadhibu mtoto hovyo kama inavyoonekana hapo isipokuwa kwa utaratibu mgumu hasa.
Binafsi kama mtetezi wa haki za watoto na binadamu kwa ujumla nimesababisha walimu kadhaa kufutwa kazi, kuandikishwa barua rasmi za onyo na wengine kesi zao zipo mahakamani kutokana na ukatili dhidi ya watoto.
Wewe zungumza tu hivyo kwakuwa zamu yako bado haijakufikia lakini siku likikufika hutopata muda wa kuongea mashudu kama haya.
Sijawahi kuwa kucheka na walimu wapumbavu kama wewe badala yake kila shule ninayopita hakuna mwalimu anayeleta ujinga dhidi ya watoto.
Ndo umetuliza akili ukaja na post kama hii!!!!! ......... Hawaishi duniani.View attachment 3266333
Hii picha sio ya kuigiza. Ni picha halisi ilipigwa na camera ya simu ambayo haikuwa na spidi sana ndio maana unaona kuna sehemu za picha ziko out of focus, kuonyesha zilikuwa zina movement ya kasi zaidi spidi ya camera ya simu.
Na picha inajieleza. Hasira za mwalimu, maumivu ya mwanafunzi na shock usoni mwa wanafunzi wanaotazama tukio hili.
Sasa niambieni. Nipate picha au video clip kama hii na huyo hapo anaesulubiwa awe ni mwanangu, mnafikiri nitamfanya nini huyo mwalimu, kumpeleka kwa polisi wetu hawa ambao wengi ni wala rushwa? Ni kosa gani ambalo huyu mwanafunzi anaweza kuwa amefanya kiasi mwalimu amwadhibu kwa ghadhabu na ukatili namna hii - amembaka mama yake?
Walimu wenye tabia hii chukueni tahadhali. Mtaja kutana na watu ambao akili zao zitakuwa kama zenu, na hamtashinda.
anarudi kwao akajirekebisheNa mkeo akiwa mtukutu je, viboko?
Basi inawezekana kufanya hivyo kwa watoto pia. Shuleni tukifanya kosa kubwa tulikuwa tunakuwa suspended mwezi mmojaanarudi kwao akajirekebishe
Sasa huyo mwalimu nimpate ni kwamba nampotezea. Huwezi ukampiga mwanangu hivi uendelee na haki yako ya kuishiView attachment 3267137Jamani, uchapaji gani huu? 😭😭
Utafikiri sio binadamu.
Hii sijui ni shule gani?
Ulitaka niandike post ya mkuu wa mkoa amefumaniwa na mke wa mwenyekiti wa CCM wa mkoa ndio uchangie?Ndo umetuliza akili ukaja na post kama hii!!!!! ......... Hawaishi duniani.
Ulimtishia watamloga? Ukiwa unatoka Sumbawanga that works! Mwambie tutakuweka mbususu kwenye paji la uso hakugusi tena hata ufanye nini!Mnao miaka kadhaa nikiwa darasa la sita...nilipigwa kipigo cha Mbwa koko baada ya Mwalimu kunichanganya na mchelewaji maarufu wa shule.
Alipokuja kugundua sio mimi ilikuwa imeshapita..fimbo na mateke yaliniweka chini.Wanafunzi wenzangu walipiga kelele.
Toka hiyo siku shule nikawa nachelewa na kuja nilovyojisikia mpaka nilipo maliza.
Ilikuwaje,nilimfuata Mwalimu kwa wakati tofauti ambao yeye hakutegemea wakiwa ofisini na wenzake.
Nikamweleza mbele ya wenzake kuwa ulichofanya ni kitu kibaya sana na familia yangu ita deal na wewe taratibu.
Aisee ni kisa kirefu sana....alikuja kuwa rafiki yangu sana.
Hawa wajinga ndio wanasababisha watoto wao kuwa machoko....mwalimu hawezi kuwa mpuuzi ampige mwanafunzi kiasi hicho halafu hizo adhabu ni zakawaida tu,,,niliwahi kuzingua nyumbani mama akanikata kisu mkononi na mpaka leo nina hilo kovu ila yote kwa yote lengo lilikuwa ni kurejesha nidhamuMimi kama mwalimu ukiniletea ushenzi wako tunamalizana kama unavyotaka. Huwa nawataka sana wazazi wapuuzi kama wewe waje shuleni tumalizane. Kama vipi chukua toto lako kalifundishe mwenye nyumbani kwako, sipendagi ujinga
Nini maana ya mwalimu? Namaanisha mwalimu ni nani?Unataka kusema nini yaani? Kwa kipindi chake ulitarajia asome kozi gani nyepesi zaidi ya ualimu?
Hiyo ndiyo kozi pekee ambayo binadamu yeyote anaweza kusoma na usipate Supplementary wala discontinuation hadi unahitimu.
Wewe dogo hauna familia ila unaleta stor za kusadikika...kwasababu sisi tulio na familia hatuwi na mawazo kuku kama yakoKuchapwa ndiyo njia pekee ya mtoto kuelewa?
Hakika watumwa ni wengi barani Afrika.
Mimi sijawahi kumchapa mtoto wangu lakini nikimuelekeza jambo analifanya kwa haraka kwasababu nimemlea kama rafiki nazungumza naye namna nzuri ya kuishi na wazazi pamoja na jamii kwa ujumla.
Lakini hali ni tofauti kwa watoto wa majirani maana wazazi wao ni aina yako wanaoamini kwenye kuchapa. Wamekuwa wakiwachapa lakini ndiyo kwanza watoto wamekuwa sugu.
Kilichomsababisha achapwe jana anakirudia leo kitu kile kile.
Kama wewe ni mwalimu mfanye mwanafunzi awe rafiki atakusikiliza kwa umakini na kwa upendo mkubwa na hata kuelewa darasani anakuelewa vizuri zaidi kuliko mwalimu chapa chapa ambaye anachukiwa na watoto.
Halikadhalika ukiwa mzazi mfanye mtoto awe rafiki uta enjoy maisha maana hatokuficha kitu chochote kiwe kibaya ama kizuri.
ndio nilichoandika hapo juu aina hiyo ya adhabu ni kumtoa mtoto darasani aende kwao akamlete mzazi wake kuliko kumbamiza akafa bureBasi inawezekana kufanya hivyo kwa watoto pia. Shuleni tukifanya kosa kubwa tulikuwa tunakuwa suspended mwezi mmoja
Eti nawewe ni platinum memberMkuu, ndio maana basi alikuwa anawapa kichapo sana watoto wake wasipofanya vizuri darasani. Sasa walimu kama Magufuli hawatakiwi kabisa, wana mental issues. Si unaona mentality ya "kuchapa watu bila huruma" aliileta hadi kwenye uraisi? Akamchapa na Ben Saanane. Anaweza kuwa alifanya vizuri katika baadhi ya sehemu,lakini kwenye hili la kuchapa alikuwa na tatizo la afya ya akili
Duh mimi ni mwalimu , naomba screenshot Salio lako bank na mimi ukifanya hivyo nascreen Salio langu bank halafu tutasoma nani Hana mwelekeo wa maisha kati yetu , ntataja namba zangu za olevel, na advance na wewe utaje tuone nani alikuwa kilazaUliwahi kuona wapi mtu aliyekuwa kipanga wa darasa akawa mwalimu?
Walimu ni watu waliokosa alama za kutosha kwenda kusoma kozi za maana na zenye uzito ndiyo wakaangukia ualimu.
Mkuu hujawahi kusikia mtaani watu wakisema mtoto fulani amefeli hivyo hawezi kusoma kozi zingine labda aende ualimu?
Ualimu ndiyo kazi ambayo hata mtu awe kilaz,a anasoma maana ni kozi ya watu wasio na mwelekeo wa kimaisha hata watoto wanajua hivyo.
Yaani unakuta mwalimu kawapa mtihani watoto lakini hata majibu ya mtihani wenyewe mwalimu na mwanafunzi wote hawajui hadi mtoto akikuletea karatasi zake za mtihani ndiyo unagundua mwalimu kamkosesha mtoto ama kampa tiki sehemu ambayo sio jibu sahihi.
Hapo lazima ajutie kuwa mwalimu.Sasa huyo mwalimu nimpate ni kwamba nampotezea. Huwezi ukampiga mwanangu hivi uendelee na haki yako ya kuishi