Black Tanzanite
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 218
- 244
Matayarisho ya kuzika ni yepi..!? Ok! Sawa! vipi kama hayo matayrisho yatakamilika ndani ya saa moja ama mbili!? 😊
Mtu akifa hakuna haja ya kumzika harakaharaka bila sababu za msingi ndio maana kuna dawa za kuzuwia maiti kuoza na mochwari zipo ili kusubiri matayarisho ya kuzika yakamilike