LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
acheni kukimbia na maiti kuzika, mtakuja kuzika aliyezimia mkidhani amekufa, taratibu masheikh msiwe na haraka kuzikaHao ambao hawakimbizwi huwa wanarudi tena duniani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acheni kukimbia na maiti kuzika, mtakuja kuzika aliyezimia mkidhani amekufa, taratibu masheikh msiwe na haraka kuzikaHao ambao hawakimbizwi huwa wanarudi tena duniani?
juzi kati nilihudhuria msiba wa jirani muislam, walimfanyia haya yote unayoyasema, fasta wakajisahau wakatoa mwili nje uswaliwe kabla watu hawajala ndio waende kuzika, zoezi la kula likapuuzwa watu wakaubeba mwili tayari kuelekea makaburini kuzika fasta. Eti kurudi tena kwenye nyumba ya msiba kula, walirudi wachache na wengi hawakurudi kula wakalaumiwa kwa nini wasile kilichoandaliwa ili kuheshimu nyumba iliyopata msiba. wakaambiwa na wao wataachiwa vyakula vyao siku wakipata msiba. watu hawakupenda ugali kwa chainiziMatayarisho ni nini?! Yaani mnachotayarisha ni nini?! Na hayo matayarisho yanahitaji nini na nini?! Ninachokiona kwa wasio waislamu ni kufanya msiba ni kama sharehe!,
Watu kula , kunywa na kucheza muziki!.
Kwetu sisi akifa muislamu kinachotakiwa ni mambo manne tu ya msingi na ya lazima!.
1️⃣Kumuosha maiti.
2️⃣ Kumvika sanda.
3️⃣ Kumswalia.
4️⃣ Kumzika na mambo yote manne hayamalizi hata masaa matano kila kitu tumemaliza.
Nikufahamishe tu kwamba swala la kupika chakula msibani linawagawa waislamu pande mbili!juzi kati nilihudhuria msiba wa jirani muislam, walimfanyia haya yote unayoyasema, fasta wakajisahau wakatoa mwili nje uswaliwe kabla watu hawajala ndio waende kuzika, zoezi la kula likapuuzwa watu wakaubeba mwili tayari kuelekea makaburini kuzika fasta. Eti kurudi tena kwenye nyumba ya msiba kula, walirudi wachache na wengi hawakurudi kula wakalaumiwa kwa nini wasile kilichoandaliwa ili kuheshimu nyumba iliyopata msiba. wakaambiwa na wao wataachiwa vyakula vyao siku wakipata msiba. watu hawakupenda ugali kwa chainizi
mkopo ....lazima usafishwe nya...hofu yangu njia inayotumika ...ole wenu tuje tuwakute mbinguni Kwa baba mmetepeta....shughuli za shamba zinawashinda kama wahindi wekundi MAREKaNiNamaanisha ile speed tu lakini kwenye kuandaa mwili itakuwa tu kawaida
Aaaamyn.Inahuzunisha sana
Huku Ulaya mambo ni tofauti kabisa
Kwanza mnapewa ratiba ya mazishi
Mnaenda Msikitini mnaondoka mpaka maleloni
Mkizika au kumsitiri basi mtaambiwa kuna mlo umeandaliwa Hoteli fulani wote muende huko
Baada ya hapo mnatawanyika kila mmoja anafuata shughuli zake
Sisi mambo ni tofauti kabisa watu hawqna Imani
Wanadhani wanawafariji wafiwa kumbe wanazidi kuwaumiza
Mungu atusamehe
You said it all head chief.Nikufahamishe tu kwamba swala la kupika chakula msibani linawagawa waislamu pande mbili!
Kuna kundi kubwa sana la waislamu wanaopika wakifiwa kwa ajili ya kuwakirimu watu wanaokuja kushiriki msiba na kutoa pole kwa wafiwa .
( sikutumia neno WAOMBOLEZAJI kwa sababu neno hili liko kinyume na imani ya kiislamu inayokataza kuomboleza ( النياحة Anniyaaha )).
Kundi la pili ambalo lina watu wachache Mimi nikiwa mmoja wao tunaona kwamba kulingana na mafundisho ya Mtume صلى الله عليه وآله وسلم haifai kupika chakula kuwakirimu watu waliokuja kushiriki msiba na kutoa pole kwakuwa kitendo hicho zama za mtume kilihesabiwa kuwa ni katika maombolezo yaliyoharanishwa.!
Kwahiyo mimi ninapoenda msibani hata wangekuwa wamepika chakula nikipendacho kushinda vyote Mimi huwa sili chakula cha msibani kwakuwa najua walioandaa chakula hicho wamefanya kinyume na mafundisho ya dini ya kiislamu.
Kuna jamaa alitoka asibushi zanzaibar akasindikizwa na mkewe kwenye boti kuja dar, bahati mbaya mkwewe wakati anarudi nyumban akagongwa na gari na kufariki papo hapo. Aliporudi jion kagikia kuoneshwa kaburi la mkeweMi wananikera sana mtu kafa leo na leoleo wanazika, tena wanaikimbiza maiti kwenda makaburini. Kule tu kukimbia na maiti kuwahi kuzika naona kama ni imani tu ya kishenzi, unakimbizaje maiti vile?
waislam wanasema huwa hawasubiri mtu toka mbali aje ndio wazike, utakuta mpendwa wako keisha zikwa fasta, utaratibu mbaya sana huuKuna jamaa alitoka asibushi zanzaibar akasindikizwa na mkewe kwenye boti kuja dar, bahati mbaya mkwewe wakati anarudi nyumban akagongwa na gari na kufariki papo hapo. Aliporudi jion kagikia kuoneshwa kaburi la mkewe
آمين. وفيك بارك الله يا حبيب.You said it all head chief.
.زادك الله علما، بارك الله فيك
..آمين، أسأل الله عزّ و جلّ أن يعينك على طاعتهآمين. وفيك بارك الله يا حبيب.
اللهم آمين...آمين، أسأل الله عزّ و جلّ أن يعينك على طاعته
Wewe ukiona panya kafa kwako chapchap unamtupa kwaniniacheni kukimbia na maiti kuzika, mtakuja kuzika aliyezimia mkidhani amekufa, taratibu masheikh msiwe na haraka kuzika
msiwe mnazika haraharaka wandunguWewe ukiona panya kafa kwako chapchap unamtupa kwanini
Mbona huhakikishi kama kafa?
Huwa najiuliza pia nyie mnaowaweka mpaka siku zaidi ya 3 hoja yenu ni kuwa watafufuka kumbe?
Ndio maana hata Pope akifa lazima apigwe nyundo mara 3 kuhakikisha kama kafa ingawa kuna vipimo vya kila aina
Je ndio ukweli huu kuwa mnasubiri labda wataamka?
Basi ina maana wengi wenu hamuamini kifo
Kama mpaka Pope anapigwa nyundo
Kiumbe akifa utajua hata kama sio daktarimsiwe mnazika haraharaka wandungu