Mrs Van
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 7,806
- 17,925
Lazima atakua ameshafanyiwa maana ameyajulia wapi hayo. Au pia atakua ameona watu wakifanya live au hata kny tv.Dah maskini,
Na huyo mtoto wa miaka 14 wamkague lazima kuna jitu zima linamfanyia au liliwahi kumfanyia ndio maana na yeye akatafuta wa kumfanyia, chain hua inaenda hivyo, ni huzuni sana.