Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 10,999
- 23,540
Baba yako sijui alikukosea nini ila u need some healing maana u are not thinking like a normal person.Rest in Eternal Peace Sweet Angel [emoji885][emoji885]
Jana niliona kwenye habari baba kubwa jeusi na mtambi kama furushi la mwizi linasema "ukatili dhidi ya watoto na wanawake umeisha, sasa umekuja ukatili wa wanaume"
Nikajiambia peke yangu "hii gender ingepewa ukoma yote ikawa itameguka kidogo kidogo"