Nawakumbusha kuwaombea watoto wetu maana siyo kila muda tupo nao karibu

Nawakumbusha kuwaombea watoto wetu maana siyo kila muda tupo nao karibu

Aisee mahala dunia imefika naona si sahihi kuwa na watoto...

Nb: ni mtazamo wangu tu.
 
Mtu kama huyo sio wa kumpeleka Mahakamani wala Police.
Nikumpeleka kwa Mungu amuhumu Motoni
 
Rest in Eternal Peace Sweet Angel [emoji885][emoji885]

Jana niliona kwenye habari baba kubwa jeusi na mtambi kama furushi la mwizi linasema "ukatili dhidi ya watoto na wanawake umeisha, sasa umekuja ukatili wa wanaume"

Nikajiambia peke yangu "hii gender ingepewa ukoma yote ikawa itameguka kidogo kidogo"
Wewe utakua umeachwa sio bure,
Una chuki sana na wanaume, polee
 
Huyu kaachwa kwa ujuha wake, hakua amejiandaa kujitafutia pesa mwenyewe,
Kuna uzi mwingine niliona analaani wanaume.
sio mara moja amekuwa akifanya hivyo sijui kwanini ana chuki kiasi hiki na wanaume, utadhani yeye ni mtakatifu
 
Inasikitisha mtu umemlea mwanao vizuri jitu linakuja kumkatisha maisha kipumbavu namna hii
 
Unatamani ingekua hivyo ila bahati mbaya sio hivyo, ni ushenzi mnaoufanya.... mjirekebisha acheni ukatili kwa watoto.
HAIWEZEKANI narudia HAIWEZEKANI wewe ukawa kwenye mahusiano yenye amani,
Kama upo upo tuu mana huna pakutokea,
Hii chuki sio ya kawaidaa.
 
HAIWEZEKANI narudia HAIWEZEKANI wewe ukawa kwenye mahusiano yenye amani,
Kama upo upo tuu mana huna pakutokea,
Hii chuki sio ya kawaidaa.
Hamna kitu mnachowaza zaidi ya ngono ndio maana mnaendeleza ukatili hadi kwa watoto,

Mother nature imewakataa hadi mnakufa mapema sana, ila pendekezo langu mfe wote kwa wakati mmoja [emoji38]
 
Powerful,


kumuombea mtoto n wajbu wa mzazi,watoto wetu bado hawana ufahamu n rahisi kuingia kwenye mtego wa muovu
 
Back
Top Bottom